
Amref Tanzania
@amreftanzania
Amref Health Africa in Tanzania is an independent, non-profit, non-governmental organization (NGO) whose vision is “Lasting Health Change in Africa”.
ID: 2801393689
https://amref.org/tanzania/ 10-09-2014 08:17:56
6,6K Tweet
7,7K Followers
962 Following

Bodi na Menejimenti ya Amref Tanzania inatoa pole kwa wafanyabiashara na waathirika wote walioguswa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la biashara lililopo Kariakoo jijini Dar-Es-Salaam, 16 Nov 2024. Tunawatakia majeruhi uponyaji wa haraka na faraja kwa ndugu na jamaa wote
