Amiri Nazareth(@amiri_naza42007) 's Twitter Profileg
Amiri Nazareth

@amiri_naza42007

ID:1725212586910597120

calendar_today16-11-2023 18:02:06

74 Tweets

41 Followers

672 Following

Eddo(@Eddo142) 's Twitter Profile Photo

Kuna hii clip kamwamba kalimfanya zimbwe kama toy ya kufanyia mazoezi ๐Ÿคฃ

Niliumia sana aise, nikatamani awe hata baka au job ๐Ÿฅฒ๐Ÿคฃ

Video kwenye comment ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡

Kuna hii clip kamwamba kalimfanya zimbwe kama toy ya kufanyia mazoezi ๐Ÿคฃ Niliumia sana aise, nikatamani awe hata baka au job ๐Ÿฅฒ๐Ÿคฃ Video kwenye comment ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡
account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mama kwa jinsi anavyoupatia uhusika wa uchawi kwenye kuigiza, basi kama kweli sio mchawi aende tu kwa wataalamu wakampe mikoba yake awe mchawi..!! ๐Ÿ˜‚

Huyu Mama kwa jinsi anavyoupatia uhusika wa uchawi kwenye kuigiza, basi kama kweli sio mchawi aende tu kwa wataalamu wakampe mikoba yake awe mchawi..!! ๐Ÿ˜‚
account_circle
hamis Ally Jr.(@hamisAllyJr1) 's Twitter Profile Photo

millardayo muungano hauna faida kwa Tanganyika, kwa sababu kama mtu wa bara huwezi kujenga zbar bila kitambulisho cha mzanzibari mkazi, pia wale wana bendera yao tofauti na yetu wana mamlaka yao ya mapato(ZRA), pia mtu wa bara huwezi kuajiriwa zbar ila wao wanaajiliwa,

account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

KELVIN DE BRUYNE ALIVYOISHI NA MSALITI THIBAUT COURTOIS.

Ni majira ya Kiangazi 2012 kwenye fukwe nzuri zenye barizi safi kama Mto Kilombero, Morogoro! Ndipo hapo panaitwa Ibiza huko nchini Hispania, nyota Kelvin De Bruyne akiwa na Mpenzi wake Caroline Lijnen, Mtalaam leoโ€ฆ

KELVIN DE BRUYNE ALIVYOISHI NA MSALITI THIBAUT COURTOIS. Ni majira ya Kiangazi 2012 kwenye fukwe nzuri zenye barizi safi kama Mto Kilombero, Morogoro! Ndipo hapo panaitwa Ibiza huko nchini Hispania, nyota Kelvin De Bruyne akiwa na Mpenzi wake Caroline Lijnen, Mtalaam leoโ€ฆ
account_circle
maila(@maila_kasorii) 's Twitter Profile Photo

Mondi mwenyewe tu alikua anajiongelesha hata like moja hakuna mimi ni nani,narudia tena mimi ni nani nipate likes na repost za kutosha..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mondi mwenyewe tu alikua anajiongelesha hata like moja hakuna mimi ni nani,narudia tena mimi ni nani nipate likes na repost za kutosha..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
account_circle