
mimilicious🌹🍒
@amina_hafidh
I don't give a damn💛💚💛💚yanga damudamu✌ madam influencer , medical personnel 💊💉🩺🩻
Man U fan ❤💛❤💛
Muslim girl🧕mtoto wa ulamaar😌🕋
ID: 1241332573495795713
21-03-2020 11:55:41
206,206K Tweet
131,131K Followers
3,3K Following



Hivi kinachofanya baadhi ya Jamii kushindwa kabisa kuachana na Ukeketaji wa watoto wa kike ni nini? Maana hakuna culture ambayo ipo outdated kama hii na ina madhara ya wazi kama hii, ila bado wamo tu? Kwanini? cc. CDF Tanzania #UsinikeketeNilinde





Ukeketaji si tu suala la afya bali ni suala la haki za binadamu, heshima na usawa wa kijinsia. Kuondoa tatizo hili kunahitaji kubadilisha mila potofu, kuhamasisha elimu, na kuunga mkono wanawake walioathirika. #UsinikeketeNilinde #EndFGM CDF Tanzania









Happy birthday to you kaka Thomas J. Kibwana 🥰😘 Maisha marefu kwako kaka hata ukiwa RC sehemu usinisahau😂😂
