Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile
Almalik Mokiwa

@almalik_mokiiwa

Crypto Enthusiast|| Political Analysts|| HR0|| Writer|| Books Enthusiasts|| @Ismail_A_Ismail forever in My best memory|| I do Forex trading.

ID: 1820853873080217602

calendar_today06-08-2024 16:06:34

1,1K Tweet

531 Followers

1,1K Following

Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

By the way, mmekuja wengi sana. Sasa MAKE SURE MMEKUJA na dhamira ya kweli ya kujifunza. Kwasababu utaratibu wa kupitisha Panga hautakwepeka. Yaani Make sure uko committed to the extent uta hold seat yako ukiwa darasani kwa kipindi chote ambacho utakuwa unajifunza. Mtu akilegeza

Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

Kutokana na uwepo wa Idadi kubwa ya watu walioweka Booking, naomba niseme kuwa SIPOKEI MTU MWINGINE YEYOTE KUANZIA SASA HIVI... KWAHIYO ASIJE YEYOTE DM KUOMBA LINK YA KUWEKA BOOKING. IDADI IMETOSHA NA SITI ZIMEISHA Wale waliofanikiwa kuweka Booking watakuwa na nafasi ya Kujiunga

Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

ALL SEAT COVERED! Next time Inshaallah.... Sio kwamba sitaki kuwabeba Wana kadri ya wingi wao, ila Siwezi kufanya hivyo (kuwabeba wengi zaidi) kwasababu Ya hofu ya kulipua kazi. Idadi ya watu ikiwa kubwa, Usimamizi utaniwia Vigumu, kitu ambacho siko tayari kukibeba. I need

ALL SEAT COVERED!

Next time Inshaallah....

Sio kwamba sitaki kuwabeba Wana kadri ya wingi wao, ila Siwezi kufanya hivyo (kuwabeba wengi zaidi) kwasababu Ya hofu ya kulipua kazi.

Idadi ya watu ikiwa kubwa, Usimamizi utaniwia Vigumu, kitu ambacho siko tayari kukibeba.

I need
Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

Mimi nadhani issue sio ukubwa wa faida unayopata when your trades goes in a right direction UKIWA NA STOPLOSS KUBWA. But, what we will loose when our trades goes against na Matarajio yetu. Soko ni upredictable, tuna develop an edge to reduce the number of loses na kuincrease

Hunter (@orderbloks) 's Twitter Profile Photo

Ahsante sana kaka Almalik Mokiwa kwa sapoti yako kubwa na Imani yako kwangu Mungu akubariki sana🙌. Ndugu zangu Shivo📈 Freemaker🇹🇿 LIQUIDATOR Engineer Paul karibuni simu zote zipo mkoa wowote mzigo unafika nicheki👇 wa.me/message/RYV3VR…

Ahsante sana kaka Almalik Mokiwa  kwa sapoti yako kubwa na Imani yako kwangu Mungu akubariki sana🙌. Ndugu zangu Shivo📈 Freemaker🇹🇿 LIQUIDATOR Engineer Paul karibuni simu zote zipo mkoa wowote mzigo unafika nicheki👇   wa.me/message/RYV3VR…
Renatus (@rena2xy) 's Twitter Profile Photo

Almalik Mokiwa kitu ambacho hawaelewi n kwamba kwenye hii game tunajitahidi sana kupunguza loss kama sio kuziondoa kabisa,,, point Iko hapo, Sasa kama Sl inakula mtaji wako Kwa 40% hiyo siyo trade ni betting

Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

MUHIMU Nilitangaza Darasa, nikawapa na utaratibu wa kuweka Booking. Hili ni darasa la kwanza natangaza humu… Hili darasa lilikuwa ni special class kwaajili wa wale ambao wanapambana au wana nia za dhati za kufanya forex lakini ada imekuwa ni moja ya changamoto. Niliweka

MUHIMU

Nilitangaza Darasa, nikawapa na utaratibu wa kuweka Booking.

Hili ni darasa la kwanza natangaza humu…

Hili darasa lilikuwa ni special class kwaajili wa wale ambao wanapambana au wana nia za dhati za kufanya forex lakini ada imekuwa ni moja ya changamoto. Niliweka
uncle J (@helman_joshua) 's Twitter Profile Photo

Almalik Mokiwa Kila la kheri kwa wote waliopata nafasi. Ombi langu wazingatie ila na sisi tuliokosa nafasi mwaka huu mwakani tupate nafasi. Wakileta uzembe watatuchelewesha wengine.

Dreamer 🫆 (@dreamer_i0) 's Twitter Profile Photo

Almalik Mokiwa Trollforex worldwide 📉📈 🫱🏼‍🫲🏾All the best kwa waliopata nafasi. Mungu awatangulie na awafungulie milango ya ufahamu, fikra na uelewa. Hakika mmebahatika kupata mwalimu bora “ PROFESSOR Almalik Mokiwa 💯

ABDUL WAHID (@kagoma_saidi) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku ulipost Almalik Mokiwa upo unabacktest bhas haikuitaj nirudie mara 2 nilicapture chap then nikaenda kuapply kurely na strategy yang. Freemaker🇹🇿 XNIPER |Trader 📈 𝕽𝖔𝖒𝖒𝖎𝖊💙📈 Shukrani kwa hikii , tusichoke kujifunza sisi newbie😁🤝

Kuna siku ulipost Almalik Mokiwa upo unabacktest bhas haikuitaj nirudie mara 2 nilicapture chap then nikaenda kuapply kurely na strategy yang. Freemaker🇹🇿 XNIPER |Trader 📈 𝕽𝖔𝖒𝖒𝖎𝖊💙📈
Shukrani kwa hikii , tusichoke kujifunza sisi newbie😁🤝
Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

Mimi nimefanya Joking tu hapo my brother. Hata nipewe nafasi ya kuchagua tena cha kufanya, nitaichagua Forex. Vyeti nimeviacha chuo. Ni wazi nikiingia kwenye ajira nitakufa na msongo wa Mawazo au labda ningepata ajira kabla ya kuanza Forex, kusingalikuwa na shida. Forex