Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile
Akhun_graphix17

@akhun_graphix17

Graphic Designer & Expert Coach | I help brands engage their audience through captivating, high-quality visuals. Reach me on WhatsApp wa.link/vfgaoz

ID: 1496419226516656128

linkhttp://www.youtube.com/@akhungraphix17 calendar_today23-02-2022 09:39:14

8,8K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Lengo la LOGO PRESENTATION ni kuelezea FEATURES zilizopo ndani ya Logo kama vile Matumizi ya Rangi, Font na Kuonyesha Umuhimu wa kila kipengele Kwa MTEJA wako #akhungraphix

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Nataka nifanye jambo moja.... Instagram & LinkedIn - Ziwe za International client (kiingereza tu) X , Facebook & Tiktok- Kwaajili ya Local Client Vp wataalamu Itafanya kazi hii STRATEGY ? 😎

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Tumia hii STRATEGY....SHOW, TALK AND ASK Mfano " Kama hiyo picha (Show).....uzuri wa hizo cargo pants zilitengenezwa na Material ambayo hayapauki (Talk).....Je unahitaji kama hii (Ask)" Asubuhi Njema πŸ€—

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Nichukue nafasi hii kumshukuru πŸ™ dogo wa maparachichi π™Άπ™°π™±πšˆ π™»π™Ύπš…π™΄πš‚ πšƒπ™΄π™²π™· 6.0 kwa kunidirect kwa watu waaminifu..Unaweza ukamsapoti kupitia Nisapoti Piah nimshukuru xander_bussines kwa kuaminiwa na kuifanya kazi iliotukuka ukihitaju bando unaweza ukamcheki AMENYOOKA βœ…

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mwanangu Mmoja huyo anakujaga Ananiambia Nimfanyie #kazi nikimtajia Bei anapotea kama mwezi πŸ˜… Anakuja tena mwezi mwingine na kazi mpya Mambo yanakuwa yaleyale na mimi nishamzoea .......!