AHMED ABDALLAH (@ahmedabdallahtl) 's Twitter Profile
AHMED ABDALLAH

@ahmedabdallahtl

Sports Journalist|TV and Radio Presenter | EPL Swahili Commentator via DSTV

ID: 1205085523800469504

calendar_today12-12-2019 11:23:00

803 Tweet

147,147K Followers

88 Following

AHMED ABDALLAH (@ahmedabdallahtl) 's Twitter Profile Photo

Inawezekana kabisa huu ndio usajili bora msimu huu miongoni mwa usajili uliofanywa na vilabu vyote vya ligi kuu, yaani kwenye orodha easly anakaa kwenye namba moja. PACOME ZOUZOUA is 'The Go-To Man' ana PRECISION ya hali ya juu sana mbele ya lango.

Inawezekana kabisa huu ndio usajili bora msimu huu miongoni mwa usajili uliofanywa na vilabu vyote vya ligi kuu, yaani kwenye orodha easly anakaa kwenye namba moja.

PACOME ZOUZOUA is 'The Go-To Man' ana PRECISION ya hali ya juu sana mbele ya lango.