Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile
Adv. Dickson Matata

@advmatata

advocate/ lawyer

ID: 1415666616348512261

calendar_today15-07-2021 13:36:56

295 Tweet

22,22K Followers

103 Following

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa ambaye amekamatwa na Polisi usiku wa leo tarehe 13 Mei 2025 akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kuelekea nchini Ubelgiji kukiwakilisha chama katika mkutano wa International Democracy Union (IDU) unaoanza kesho nchini

Muda huu tumemaliza kushughulikia suala la kukamatwa na Polisi hapa kituo cha Polisi kati "Central Police" kwa Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Golugwa na wote waliokuwa wamewekwa ndani. Sasa wako huru.

Muda huu tumemaliza kushughulikia suala la kukamatwa na Polisi hapa  kituo cha Polisi kati "Central Police" kwa Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Golugwa na wote waliokuwa wamewekwa ndani.

Sasa wako huru.
Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Ni saikolojia na akili ya kawaida kabisa isiyohitaji sayansi ya roketi (a rocket science) kujua kuwa watu hawa hawawezi kutoa chochote walichotoa kama hawakubaliani na msimamo wa chama wa "No reforms No election"na hawakiungi mkono chama. Ni saikolojia na akili ya kawaida

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Nitoe wito kwa uongozi na mamlaka za uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere -Dar es Salaam kumwachia mwangalizi wa kimataifa toka Kenya Martha Karua SC ambaye wanaye tangu usiku wa kuamkia leo. Mh. Martha amekuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu kesho.

Nitoe wito kwa uongozi na mamlaka za uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere -Dar es Salaam kumwachia mwangalizi wa kimataifa toka Kenya <a href="/MarthaKarua/">Martha Karua SC</a> ambaye wanaye tangu usiku wa kuamkia leo. Mh. Martha amekuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu kesho.
Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Jaji mkuu mstaafu wa Kenya David Maraga yuko mahakamani Kisutu kufuatilia kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A. Lissu. Tumia link hii isiyohitaji nywila "password" kuwa moja kwa moja (live) popote ulipo. youtube.com/live/S_oszcood…

Jaji mkuu mstaafu wa Kenya David Maraga yuko mahakamani Kisutu kufuatilia  kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A. Lissu. 

Tumia link hii isiyohitaji nywila "password"  kuwa moja kwa moja (live) popote ulipo.
youtube.com/live/S_oszcood…
Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli kuwa Gwajima ana mambo yake lakini kwenye hili la Gwajima kutetea uhai wa watu mimi ninasimama naye. Uhai ni bora kuliko kitu chochote hapa duniani. Hakuna kitu chenye thamani kuliko uhai wa binadamu. Na ni Mungu pekee aliyetupa uhai,aliye na mamlaka ya kuuchukua.

Ni kweli kuwa Gwajima ana mambo yake lakini kwenye hili la Gwajima kutetea uhai wa watu mimi ninasimama naye.
 Uhai ni bora kuliko kitu chochote hapa duniani. Hakuna kitu chenye thamani kuliko uhai wa binadamu. Na ni Mungu pekee aliyetupa uhai,aliye na mamlaka ya kuuchukua.
Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Tunawashukuru watanzania kwa kuendelea kutuchangia. Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700. Endelea kukichangia Chama katika malipo ya moja kwa moja na kujirudia. #ToneTone

Tunawashukuru watanzania kwa kuendelea kutuchangia.

Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700.

 Endelea kukichangia Chama katika malipo ya moja kwa moja na  kujirudia.

#ToneTone
Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Hakuna ubishi tena kwamba Siasa ya sasa, ni Upinzani ni dhidi ya Vyombo vya dola, Msajili wa vyama vya siasa, Tume ya uchaguzi na naona na Mahakama nayo kama inaanza kuingia. CCM haifanyi siasa tena. Kila kinachoendelea sasa ni hujuma sizizo na kichwa wala miguu dhidi ya CDM.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza neno kwa neno la mwananchi huyu akiongea na Makamu Mwenyekiti Taifa John Heche, kisha linganisha na "Press" ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora aliyesema "eti" mwananchi huyu alijifanya yeye ni mkuu wa kituo cha Polisi Igunga. Halafu toa maoni nani kapotosha umma?

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Kesi ya Said Issa dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu Chadema ni kesi ya madai na sio jinai. Na katika kesi za madai mtu akienda kinyume na amri za mahakama anashtakiwa kwa kuidharau mahakama " contempt to court" swali Polisi waliagizwa na nani kuzuia Press ya Heche jana?

CDM tulisema hakuna muda maalumu wa kusaini kanuni za maadali ya uchaguzi kisheria kabla ya uchaguzi kuanza, tume wakasema hatuko sahihi. Leo Mwandishi Mkuu wa sheria wa Serikali anasema tunaruhusiwa je, nini kimebadilika? Na je kwa hili bado mnataka tuiamini tume hii?