Sikutaka KUPOST ishu za Yanga leo ila kuna mambo yanaumiza sana.
Kama kuna kiongozi yeyote wa YANGA atakubali kucheza na MAKOLO msimu huu kama mechi ya kufidia game ya JANA basi DAMU ya huyu SHABIKI iwe juu yake au juu Yao.
Shabiki alitoka TUNDUMA kuja kuangalia Yanga yake,