Nuoh Nation (@_handsome9) 's Twitter Profile
Nuoh Nation

@_handsome9

ID: 1645482585357705216

calendar_today10-04-2023 17:43:45

90 Tweet

108 Followers

529 Following

Nuoh Nation (@_handsome9) 's Twitter Profile Photo

Maisha yamebadilika sana, na mvua hii Kuna baba Bado Yuko kitandani amelala mpaka saivi, alafu Kuna mama ambaye yupo kibarazani anachoma chapati, na mwengine yupo mtaani na beseni la mboga mboga kichwan Shout out kwa Mama zetu, mnaupiga mwingi, kama mama Samia Suluhu Hassani🦶👊

Nuoh Nation (@_handsome9) 's Twitter Profile Photo

Tulipotoka njia kuu, ndo tukagundua vipaji vyetu,🤨 wewe si ndo yule ulikua "I wish to be a doctor". Leo hii wewe ndo yule mpiga debe pale Boss kalewa 😂

Nuoh Nation (@_handsome9) 's Twitter Profile Photo

Najua wapo walio kuumiza, kukusaliti, na kukunafikia, hao ndo binadam Wasamehe ila usisahau, move on maisha yaendelee Ila hakikisha usiwape nafasi Tena katika maisha yako.

Nuoh Nation (@_handsome9) 's Twitter Profile Photo

Kwenye maisha Kuna kujitafuta, baada ya kujitafuta, Kuna kujipata, baada ya kujipata sasa Kuna status Sasa kumaintain status ndo kazi yenyewe, na wengi wao huwa wanashindwa.

Nuoh Nation (@_handsome9) 's Twitter Profile Photo

I wish you were in the labor room, I cried and my tears fallen on my mom's hands like water flowing in the river Nile, I screamed like Liverpool fans at anfield, never walk alone boo

Nipo hotelin nmeagiza chakula nikala kwa dk2 na cjamalza chakula, mhudumu UNIKOME, kuniuliza maswal kwa nn ss cjamalza chakula

Nuoh Nation (@_handsome9) 's Twitter Profile Photo

FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA! #MamilioniNaGoalRush sportpesa.co.tz/goal-rush/refe…