๐—š๐—๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ผ๐—ฟ๐Ÿฆ… (@_gjuniour) 's Twitter Profile
๐—š๐—๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ผ๐—ฟ๐Ÿฆ…

@_gjuniour

ID: 1438874776961966088

calendar_today17-09-2021 14:37:54

106,106K Tweet

5,5K Followers

5,5K Following

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Tulianza vyema tukiwa ugenini Eswatini ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ, tutamaliza vyema tukiwa nyumbani Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #NguvuMoja

Tulianza vyema tukiwa ugenini Eswatini ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ, tutamaliza vyema tukiwa nyumbani Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #NguvuMoja
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mkurugenzi Idara ya Usimamizi, Uwajibikaji na Mahusiano kutoka Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Leila Riyaz Bhanji, amesema wananchi wanapaswa kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, ikiwa ni pamoja na kuomba amani kwaajili ya Taifa na kuhakikisha

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Rogers Shemwelekwa, ameongoza mafunzo kwa Wananchi wa Mji wa Kibaha ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani. Akizungumza katika mafunzo hayo Mkurugenzi Shemwelekwa alisema โ€œWananchi zaidi ya 3,100 wamehudhuria mafunzo haya

SportsArenaTz (@sportsarenatztz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ OFFICIAL: Kikosi cha SIMBA kinachoanza dhidi ya Nsingizini ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yakoub ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Duchu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mligo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Karaboue ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ De Ruck ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kagoma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Morice ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ahoua ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Mutale ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kibu D ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Mpanzu #CAFCL

๐Ÿšจ OFFICIAL: Kikosi cha SIMBA kinachoanza dhidi ya Nsingizini

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yakoub
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Duchu
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mligo
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Karaboue
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ De Ruck
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kagoma
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Morice
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ahoua
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Mutale
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kibu D
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Mpanzu

#CAFCL
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Urusi imefanya kwa mafanikio majaribio ya kombora lake la kinuklia la Burevestnik, silaha yenye uwezo wa nyuklia ambayo Moscow inasema inaweza kutoboa ngao yoyote ya ulinzi, Rais Vladimir Putin amesema leo Jumapili, Oktoba 26, 2025. Jaribio hilo pamoja na zoezi la

#HABARI Urusi imefanya kwa mafanikio majaribio ya kombora lake la kinuklia la Burevestnik, silaha yenye uwezo wa nyuklia ambayo Moscow inasema inaweza kutoboa ngao yoyote ya ulinzi, Rais Vladimir Putin amesema leo Jumapili, Oktoba 26, 2025.

Jaribio hilo pamoja na zoezi la
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufuzu mara 3 mfululizo hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika๐Ÿ”ฐ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufuzu mara 3 mfululizo hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika๐Ÿ”ฐ

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA imetoa List ya Watu 52 waliotekwa, na mazingira waliochukuliwa. Kuanzia tarehe 1 hadi 25, October mwaka huu. Angalia jina la unaemjua... Screenshot kwa Comments ๐Ÿ‘‡

CHADEMA imetoa List ya Watu 52 waliotekwa, 

na mazingira waliochukuliwa.

Kuanzia tarehe 1 hadi 25, October mwaka huu.

Angalia jina la unaemjua...

Screenshot kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Rahmer Salum (@rahmer255) 's Twitter Profile Photo

Kesho tunakwenda kufunga ukurasa. Mbunge anayesubiri kuapishwa, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe Zitto MwamiRuyagwa Kabwe anakwenda kufunga hesabu katika viwanja vya shule ya Msingi Ujiji #Mwami2025 #SisiNiWashindi

Kesho tunakwenda kufunga ukurasa. Mbunge anayesubiri kuapishwa, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe <a href="/zittokabwe/">Zitto MwamiRuyagwa Kabwe</a> anakwenda kufunga hesabu katika viwanja vya shule ya Msingi Ujiji

#Mwami2025
#SisiNiWashindi