๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profileg
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@__abdulazack

Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah

ID:1135266084100235265

calendar_today02-06-2019 19:25:01

182,4K Tweets

93,3K Followers

93,7K Following

๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

Take it easy on yourself. Youโ€™re doing all that you can. Remember to give yourself credit for how far youโ€™ve come. Youโ€™re very strong and you have what it takes within you to continue to prosper in every way. Just keep believing. Itโ€™s all working in your favor.

account_circle
Chen Mingjian ้™ˆๆ˜Žๅฅ(@ChenMingjian_CN) 's Twitter Profile Photo

Hongera! Tanzanian UDSM Students team won the Grand Prize in the Huawei ICT Competitions 2023-2024 Global Final! Out of 470 contestants from 49 countries, their brilliant performance shines in Chinaโ€™s Shenzhen.

Hongera! Tanzanian UDSM Students team won the Grand Prize in the Huawei ICT Competitions 2023-2024 Global Final! Out of 470 contestants from 49 countries, their brilliant performance shines in Chinaโ€™s Shenzhen.
account_circle
simpleetzโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@simpleetz) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mke wa Mnyika kama hawajakutana pale Mwananyamala kwenye kuchukua njugu mawe za uzima basi Mnyika alivyo na roho mbaya kashampa dada wa watu tiba.. sema hongerah jamaa angu MNYIKA John John enzi za mwanakulifaindi na kulitafuta umepakaza sana upupu kwa vibinti utulie sasa

Huyu Mke wa Mnyika kama hawajakutana pale Mwananyamala kwenye kuchukua njugu mawe za uzima basi Mnyika alivyo na roho mbaya kashampa dada wa watu tiba.. sema hongerah jamaa angu @jjmnyika enzi za mwanakulifaindi na kulitafuta umepakaza sana upupu kwa vibinti utulie sasa
account_circle
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

Serikali imelipa madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi 132,611 yenye thamani ya Sh219,732,820,025.74.

Serikali inatoa wito kwa waajiri wote nchini kuhakiki na kuwasilisha madeni ya watumishi kwa ajili ya taratibu za uhakiki na malipo.

Serikali imelipa madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi 132,611 yenye thamani ya Sh219,732,820,025.74. Serikali inatoa wito kwa waajiri wote nchini kuhakiki na kuwasilisha madeni ya watumishi kwa ajili ya taratibu za uhakiki na malipo. #MguuKwaMguu2025
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Katika Kipindi cha Tatu cha , tunaangazia namna Rais Samia Suluhu Hassan alivyoleta afueni kwa maelfu ya watoto wa Tanzania kupitia taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete. Hii ni . Bofya hapa kutazama kipindi chote: youtu.be/301Er6lF4q4?siโ€ฆ

account_circle
Tanzania Wall Street(@Tanzaniawall) 's Twitter Profile Photo

๐๐€๐๐ˆ ๐€๐‹๐€๐”๐Œ๐ˆ๐–๐„? ๐‚๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š ๐ค๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐ค๐ฎ๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ฆ๐ข๐ค๐ฎ๐ญ๐š๐ง๐จ ๐ฒ๐š ๐ก๐š๐๐ก๐š๐ซ๐š

Hali inazidi kuwa mbaya kwa chama cha Demokrasia na Maendeleo kutokana na ushawishi kuendelea kushuka siku hadi siku, hapo jana Makamu Mwenyekiti

๐๐€๐๐ˆ ๐€๐‹๐€๐”๐Œ๐ˆ๐–๐„? ๐‚๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š ๐ค๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐ค๐ฎ๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ฆ๐ข๐ค๐ฎ๐ญ๐š๐ง๐จ ๐ฒ๐š ๐ก๐š๐๐ก๐š๐ซ๐š Hali inazidi kuwa mbaya kwa chama cha Demokrasia na Maendeleo kutokana na ushawishi kuendelea kushuka siku hadi siku, hapo jana Makamu Mwenyekiti
account_circle
Tanzania Wall Street(@Tanzaniawall) 's Twitter Profile Photo

๐”๐ƒ๐’๐Œ ๐Œ๐ข๐š๐ค๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐Ÿ‘๐ŸŽ ๐›๐ข๐ฅ๐š '๐…๐ข๐ซ๐ฌ๐ญ ๐‚๐ฅ๐š๐ฌ๐ฌ'?

Mwanafunzi pekee wa Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM) Afrika kuwahi kuweka historia katika taaluma ya sheria kwa ufaulu, tafiti, machapisho ya kitaaluma n.k, ndiye Profesa kamili wa kwanza wa Sheria pale

๐”๐ƒ๐’๐Œ ๐Œ๐ข๐š๐ค๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐Ÿ‘๐ŸŽ ๐›๐ข๐ฅ๐š '๐…๐ข๐ซ๐ฌ๐ญ ๐‚๐ฅ๐š๐ฌ๐ฌ'? Mwanafunzi pekee wa Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM) Afrika kuwahi kuweka historia katika taaluma ya sheria kwa ufaulu, tafiti, machapisho ya kitaaluma n.k, ndiye Profesa kamili wa kwanza wa Sheria pale
account_circle
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

Watanzania tunajivunia kuwa na kiongozi ๐Ÿ‘‡

โœ…Mnyeyekevu
โœ…Mwenye upendo
โœ…Mpenda maendeleo
โœ…Mpenda haki

Hizi ni sifa chache tu za Mama yetu kipenzi taja zingine nyingi unazijua.

mpaka 2030 hatuna wasiwasi tuko mikono salama.

Watanzania tunajivunia kuwa na kiongozi ๐Ÿ‘‡ โœ…Mnyeyekevu โœ…Mwenye upendo โœ…Mpenda maendeleo โœ…Mpenda haki Hizi ni sifa chache tu za Mama yetu kipenzi taja zingine nyingi unazijua. #MguuKwaMguu2025 mpaka 2030 hatuna wasiwasi tuko mikono salama.
account_circle