Ackim(@Kimkayndo) 's Twitter Profileg
Ackim

@Kimkayndo

@wcbwasafi_ HEAD OF DIGITAL DEPARTMENT | DIGITAL MARKETING EXPERT & ANALYST | GRAPHICS DESIGNER

ID:193577004

linkhttp://www.instagram.com/kimkayndo calendar_today22-09-2010 04:45:14

21,7K Tweets

12,2K Followers

508 Following

Ackim(@Kimkayndo) 's Twitter Profile Photo

Nimeagiza zangu chakula tangu saa 10
Kumbe wapishi wako zao jikoni wanacheza
Nimeumia saana ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

account_circle
MIRIAM๐Ÿ’œ(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mondi atakufanya upende nyimbo yake utake usitake, Jamaa kwenye marketing ni Mbaya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

account_circle
Ackim(@Kimkayndo) 's Twitter Profile Photo

Usiku wa jana
Diamond Platnumz alitumia jumla ya masaa matatu na dakika thelathini bila kuchoka kuhakikisha wana Dar es Salaam wanapata Vibes za Hali ya Juu!
HAUJUI

account_circle
Imani Henrick Luvanga(@Imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka kuruka.. agana na nyonga.

Wahenga walilisema hili kitambo kdg. Sijui walikuwa wanafikiria nini, ila busara yao inaishi hadi leo.

Ipo hiviโ€ฆ

Ukiacha kazi mahali na ukaamua kwenda kutafuta changamoto mahali pengine, usinyeee kambi.

Ukitaka kuruka.. agana na nyonga. Wahenga walilisema hili kitambo kdg. Sijui walikuwa wanafikiria nini, ila busara yao inaishi hadi leo. Ipo hiviโ€ฆ Ukiacha kazi mahali na ukaamua kwenda kutafuta changamoto mahali pengine, usinyeee kambi.
account_circle
Ibukun(@CoadedIBK) 's Twitter Profile Photo

Creepy.org Joseph Ligon (born May 3, 1938) is an American convicted murderer and former prisoner. He was America's longest-serving prisoner who was convicted to a life sentence as a minor.

At 15, he was found guilty of murder by association and sentenced to life in prison without theโ€ฆ

@creepydotorg Joseph Ligon (born May 3, 1938) is an American convicted murderer and former prisoner. He was America's longest-serving prisoner who was convicted to a life sentence as a minor. At 15, he was found guilty of murder by association and sentenced to life in prison without theโ€ฆ
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฅToyota Fortuner Bonge la Machine.
.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini hiza gari bei mkasi sana [zamoto].
.
Halafu zinatumiwa sana na mabalozi na miradi ya maendeleo ambayo iko funded.
.
Kaa vizuri andaa kifungia kinywa/juice na kitumbua chako pembeni [kama unacho] twende pamoja๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅToyota Fortuner Bonge la Machine. . Hivi umewahi kujiuliza kwanini hiza gari bei mkasi sana [zamoto]. . Halafu zinatumiwa sana na mabalozi na miradi ya maendeleo ambayo iko funded. . Kaa vizuri andaa kifungia kinywa/juice na kitumbua chako pembeni [kama unacho] twende pamoja๐Ÿ‘‡
account_circle
๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ(@KingPablotz) 's Twitter Profile Photo

Siku moja nilimcheki chibu SIMBA..!๐Ÿฆ nikamwambia

Hakikisha kwenye Goma moja wapo lazima unitaje.

Tumia 'PABLO ๐Ÿฆ'

Akasema haina Noma..

Na leo katimiza ahadi,

Chibu ni mtu wa maana

Chibu ni mtu na nusu.

Chibu ukifa hauozi

Kwe usiponisikia nafuta Accountโ€ฆ

Siku moja nilimcheki chibu @diamondplatnumz nikamwambia Hakikisha kwenye Goma moja wapo lazima unitaje. Tumia 'PABLO ๐Ÿฆ' Akasema haina Noma.. Na leo katimiza ahadi, Chibu ni mtu wa maana Chibu ni mtu na nusu. Chibu ukifa hauozi Kwe #KIBANGO usiponisikia nafuta Accountโ€ฆ
account_circle