Dr. Stergomena Lawrence Tax
@DrTaxs
Minister for Defence & National Service
ID:3322762636
https://www.modans.go.tz 13-06-2015 09:36:04
3,6K Tweets
26,9K Followers
286 Following
Follow People
Aprili 30, 2024 nikiongoza ujumbe wa Tanzania katika Kikao cha 12 Baraza la Kisekta la EAC la Ulinzi, Usalama na Mahusiano ya Kimataifa. Kikao kiliidhinisha Mpango Mkakati wa Usalama wa Mipaka, na Mfumo wa Kituo cha Kupambana na Ugaidi ā¦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFAā© ā¦MFA Tanzaniaā©
Hongereni sana Timu ya mpira wa Pete ya Wizara ya Ulinzi kwa kutinga fainali kwa ushindi mnono wa magoli 58 -22 dhidi ya Timu ya Wizara ya Afya ktk michezo ya Mei Mosi Taifa inayoendelea Jijini Arusha! Kaza buti, kombe hiloooo ā¦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFAā©
š MUUNGANO UMETUWEZESHA KULINDA UHURUU
āMuungano umetuwezesha kulinda Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lakini pia kwa umoja wetu, na kupitia jeshi letu, tumeweza kulinda mipaka ya taifa letu.ā
Samia Suluhu
Kheri ya siku ya Muungano.
'Muungano wetu ni maalum na wa kipekee uliojengwa katika misingi ya utu, udugu na umeweza kushinda majaribio mengi ya kuuvunja na umefanikiwa kudumu hadi sasa.' - Rais ā¦ā¦Samia Suluhuā© 25/4/2024 ā¦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFAā© youtube.com/live/BdIP28WUVā¦
Hongera sana Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mnadhimu Mkuu, na Wafuasi wote kwa kutunukiwa nishani. Kazi iendelee! ā¦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFAā© ā¦Jeshi la Wananchi wa Tanzaniaā©
Grateful to engage with the UN Under Secretary General for Peace Operations, HE Jean Pierre Lacroix. Renewed our commitment to cooperate in promoting and sustaining peace ā¦United Nationsā© ā¦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFAā© ā¦Jean-Pierre Lacroixā©
Naungana na Mhe Rais Samia Suluhu kutoa pole kwa Mhe William Samoei Ruto, PhD ndugu na jamaa, na kuwaombea marehemu wapumzike kwa amani Kenya Defence Forces WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA š
Pongezi kwa viongozi na wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ulinzi & timu ya soka ya Ulinzi kwa ushindi mnono leo 17/4/2024 ktk michuano ya Mei Mosi Taifa huko Arusha. Tunajivunia na kuthamini juhudi zenu. Ni matumaini yetu mtarudi na ubingwa ā¦ā¦ā¦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFAā©
Hongereni sana Mashujaa FC kwa ushindi wa kibabe dhidi ya Simba SC. Hakika mmeonyesha kuwa ninyi ni mashujaa na wengine wanahitaji kujifunza kutoka kwenu, Awiiā¦.. ā¦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFAā© ā¦MASHUJAA FCā© ā¦ā¦Jeshi la Wananchi wa Tanzaniaā©
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Eid Mubarak ā¦ā¦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFAā© ā¦Jeshi la Wananchi wa Tanzaniaā© ā¦The University of Dodomaā©