Red🧨LOUD & PROUD (@emmah_mrisho) 's Twitter Profile
Red🧨LOUD & PROUD

@emmah_mrisho

draw your dreams, drive the future
🤵👰

ID: 1228312536677785601

calendar_today14-02-2020 13:38:40

32,32K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Red🧨LOUD & PROUD (@emmah_mrisho) 's Twitter Profile Photo

Nalambishwa asali kwenye mzinga wa nyuki tamuu ni hatariiii🎸🥁🎵🎵🎶🎶 Nalambishwa asali nachezeshwa buzuki baby chali chali Nimempatah ... nimempata mtaalam mtaalam.... Fundi wa mafundi kungwi😘🥰😋 Mambo ya chumbaniii yaan nalazwa huku napulizwaah Asante mbosso....

Red🧨LOUD & PROUD (@emmah_mrisho) 's Twitter Profile Photo

Hivi binti mrembo kabisa Una anzaje mpaka una fikia hatua ya kupigwa na mwanaume/mume wako??? Mm na mdomo wangu wote huu huwa kuna kiishara nakiona hapa nilipo bonyeza ni penyewe nikiendelea tu nita juta...naamua nikae kimya au nitoe nguo nifue Sina mwili wa kupigwa mingumi mie.

Hivi binti mrembo kabisa Una anzaje mpaka una fikia hatua ya kupigwa na mwanaume/mume wako???
Mm na mdomo wangu wote huu huwa kuna kiishara nakiona hapa nilipo bonyeza ni penyewe nikiendelea tu nita juta...naamua nikae kimya au nitoe nguo nifue Sina mwili wa kupigwa mingumi mie.
Wambo (@bobowamboikuria) 's Twitter Profile Photo

I know nitatusiwa, but I tell ladies the truth, especially wenye tuko na baby daddys. Girl if that Man wants or is providing for his kid try to be humble and respectful pls. There are men who left and they have never looked back. Punguza kiburi usaidiwe kulea. Stop being dramatic

Red🧨LOUD & PROUD (@emmah_mrisho) 's Twitter Profile Photo

Una weza muona Mtu ana heshima zòte kumbe ana uza nguru kwa kificho sana🤣🤣🤣 usi zunguka bwana si uchi wako we uuze tu jivunie biashara yako wateja mbona wapo wape bei elekezi wakusaidie punguze tumbo hilo....

Sio km wanaume ni wachache ila wanaume wengi wao 1.wamefungwa magerezani 2.machizi (vichwa vime vurugwa) 3.mashoga hapa baadhi 4.wamechoshwa na vitimbi vya baadhi ya wanawake Basi wa magerezani wasamehewe wake zao wana tumika vibaya Sana huku uraiani. Wengine tubanane tu.

Sio km wanaume ni wachache ila wanaume wengi wao   1.wamefungwa magerezani
2.machizi (vichwa vime vurugwa)
3.mashoga hapa baadhi
4.wamechoshwa na vitimbi vya baadhi ya wanawake

Basi wa magerezani wasamehewe wake zao wana tumika vibaya Sana huku uraiani.

Wengine tubanane tu.
Red🧨LOUD & PROUD (@emmah_mrisho) 's Twitter Profile Photo

nina uhakika mwanaume ni eneo ndogo Sana lina mfanya awe na confidence na utulivu wa akili hilo eneo sekta moja iki sumbua ina mkata stimu haswa uume...Mungu awa jaalie wapate pesa za kutosha kuendwsha maisha yao na mume yenye kufanya Kazi sawia. PESA NA UUME

nina uhakika mwanaume ni eneo ndogo Sana lina mfanya awe na confidence na utulivu wa akili hilo eneo sekta moja iki sumbua ina mkata stimu haswa uume...Mungu awa jaalie wapate pesa za kutosha kuendwsha maisha yao na mume yenye kufanya Kazi sawia. 

PESA NA UUME
Red🧨LOUD & PROUD (@emmah_mrisho) 's Twitter Profile Photo

Ila jaman wadada wa uswahilini sijui hata hela wana toa wapi😥😥 nimekuja nimesha vaa nguo yangu vizuri nimefika tu nime pewa kijora🤣🤣 bwana harusi ameenda kumfata mkewe nime badilishwa nguo ñyingine sio nguo tu ABAYA👌 na zote Hz sija toa hela NK hapa nakatika mdundiko

Samahanini kidogo watu wa fashion nna swali Kuna yale meno nyeupe peeh Yana kuwa yame jaa mdomoni ni fashion kwa sasa au ni nini nimeona wadada wengi wanayo hivi ukitaka kuyatoa Yana toka au ukiweka ndio umeweka mpaka kifo??

Red🧨LOUD & PROUD (@emmah_mrisho) 's Twitter Profile Photo

Km ww ni chenga na una dream ya kuwa single mother km mnavyo dream siku hizi basi omba Sana upate mtoto wa kiume na awe timamu kichwani kidogo akili yako ina weza ikawa Sawa. Akiwa wa kike uta zidi kuharibikiwa pamoja na kumuharibu mtoto.

Kwenye ndoa na mazingira yake kuna mambo 5 1.Upendwe na mume pamoja na familia yake yote. 2. Upendwe na wakwe/mawifi mume hana mpango 3.upendwe na mume ila mawifi na wakwe vichomi 4 upendwe na watoto wako tu wengine hawataki hata kukuona 5. Upendwe na majirani🤣🤣🤣

Kwenye ndoa na mazingira  yake kuna mambo 5
1.Upendwe na mume pamoja na familia yake yote.
2. Upendwe na wakwe/mawifi mume hana mpango
3.upendwe na mume ila mawifi na wakwe vichomi
4 upendwe na watoto wako tu wengine hawataki hata kukuona
5. Upendwe na majirani🤣🤣🤣
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒 (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

Kijana wetu Pichani, alizaliwa na hitilafu katika mguu mmoja, anapitia maumivu hasa akijaribu kujongea, anahitaji msaada wa upasuaji (Tsh Milioni 4) ili aweze kutembea kama watoto wengine, ni kijana mwenye afya lakini ni afya isiyo timilifu bila kutembea.

Kijana wetu Pichani, alizaliwa na hitilafu katika mguu mmoja, anapitia maumivu hasa akijaribu kujongea, anahitaji msaada wa upasuaji (Tsh Milioni 4)  ili aweze kutembea kama watoto wengine, ni kijana mwenye afya lakini ni afya isiyo timilifu bila kutembea.
Red🧨LOUD & PROUD (@emmah_mrisho) 's Twitter Profile Photo

Nyie umeme Una uwa vibaya uki kuoatia😭😭😭 juzi jiran fundi ana ungamisha nyaya za taa kwa jiran mwingine aka washa taa wallah mtoto WA watu alilia kumbe ana tetemeahwa na hawezi uachia waya😌😌😌 alhamndulillah wali muwahi.