Naungana na familia ya Ngalaba kushiriki Ibada ya Faraja katika Kanisa la AICT Makongoro, Mwanza. Familia hii waliondokewa na mpendwa wao Rebeka Sumuni Kasaka Ngalaba (1925-2023) na atazikwa kesho katika Kijiji cha Sangabuye, Mwanza.
eeeh akanirudia tena nikashtuka lakini sikumuangalia usoni maana nilikuwa namuonea aibu maana Maneno kama haya kuambiwa na mama yako mzazi sio mchezo. unaweza kujikuta unatoka mbio nyumbani na usiludi. Yaani mama akwambie ukatembeze moto mitaani mpaka kwa mama za watu, dada