Yani demu wangu anajua kabisa nikilala kitandani napeleka wapi kichwa changu lakini yeye amefika kitandani kavua hadi chupi afu kaka sehemu nayo weka kichwa.
Hapa nalala chini kmmke 🚮🚮💔😁
Mi ndo maana kuna muda naamuaga kuabstain mahusiano au kustick na shetani langu moja hilo hilo, kujieleza kila siku kwa mtu mpya nayo kazi sana waaah😂🚮
Leo, CHADEMA tunahitimisha oparesheni #NoReformsNoElection katika Kanda ya Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga) kwa timu zote mbili kukutana Tanga Mjini katika mkutano wa Jioni. Watu wa Korogwe, Muheza, Tanga Mjini karibuni msikilize viongozi wa chama chenu.
Aiseee kamwe usije kumkataa demu kisa mwembamba huyu nilimkataa miaka miwili nyuma leo nimekutana nae oyaa bonge moja la pisi bonge moja la tako shape kmmke nimeomba namba upya na sasa hivi mm ndio nambembeleza anikubalie💔🚮🚮
Mkali alikuwa anajua sana Physics.,Alichaguliwa Telecommunication Engineering UD na hakumaliza alidisco 🥹,Sijajua shida ilikuwaga nini.,Mwaka 2020 mkali aliaga Dunia.🥹🥲
This guy buaana 😂Keep weaving your web of deceit time is the most unforgiving witness, and when the curtain falls, truth won’t need a spotlight to expose you, Your reckoning is on a silent countdown