Elinho Daniel (@elinho_daniel) 's Twitter Profile
Elinho Daniel

@elinho_daniel

DIE WITH MEMORIES, NOT DREAMS.....๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ

ID: 1860581457925722112

calendar_today24-11-2024 07:10:17

1,1K Tweet

2,2K Takipรงi

2,2K Takip Edilen

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Kuna matukio hutokea mara moja tu na kukuachia kumbukumbu ya kudumu ambapo moja ya matukio hayo kwa sasa ni maadhimisho ya Silver Jubilee ya Mother In Chief wa Bongofleva , Judith Wambura Mbibo ( @jidejaydee ). Kwanza, Juni 12, Lady Jaydee atazindua kitabu cha simulizi ya maisha

Kuna matukio hutokea mara moja tu na kukuachia kumbukumbu ya kudumu ambapo moja ya matukio hayo kwa sasa ni maadhimisho ya Silver Jubilee ya Mother In Chief wa Bongofleva , Judith Wambura Mbibo ( @jidejaydee ).

Kwanza, Juni 12, Lady Jaydee atazindua kitabu cha simulizi ya maisha
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Nyota wa zamani wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic yupo Nchini Tanzania ambapo ameโ€˜postโ€™ picha akiwa eneo la Kogatende kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti nchini Tanzania eneo ambalo ni kitovu cha uhamaji wa wanyama maelfu wanaovuka Mto Mara. Zlatan (43) raia wa Sweden

Nyota wa zamani wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic yupo Nchini Tanzania ambapo ameโ€˜postโ€™ picha akiwa eneo la Kogatende kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti nchini Tanzania eneo ambalo ni kitovu cha uhamaji wa wanyama maelfu wanaovuka Mto Mara.

Zlatan (43) raia wa Sweden
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Ndege ya abiria ya Air India iliyokuwa inatokea nchini India kwenda London nchini Uingereza imeanguka na kuwaka moto leo June 12,2025 katika eneo la Ahmedabad India muda mfupi baada ya kupaa ikiwa na Watu 242. Mamlaka nchini India zimesema ndege hiyo imebeba Watu 242

BREAKING: Ndege ya abiria ya Air India iliyokuwa inatokea nchini India kwenda London nchini Uingereza imeanguka na kuwaka moto leo June 12,2025 katika eneo la Ahmedabad India muda mfupi baada ya kupaa ikiwa na Watu 242.

Mamlaka nchini India zimesema ndege hiyo imebeba Watu 242