Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile
Equity for Tanzania

@efta_tz

๐ŸŒŸ Equity for Tanzania ๐ŸŒŸ
@EFTA_tz

โš™๏ธ Equipment Loans โš™๏ธ
MIKOPO YA MASHINE BILA DHAMANA.

Get in touch:

๐Ÿ“ž 0765417387

๐Ÿ“ง Email: [email protected]

ID: 893392762367864832

linkhttp://www.efta.co.tz calendar_today04-08-2017 08:46:47

1,1K Tweet

1,1K Followers

976 Following

Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŒ Siku ya Tatu Karibu Kilifair! Wadau wote wa sekta ya utaliiโ€”wamiliki wa hoteli, makampuni ya usafirishaji, waendeshaji wa vivutio na watoa huduma wengineโ€”karibuni kwenye banda la EFTA, Namba N26, katika Viwanja vya Magereza, Kisongo - Arusha. #KaribuKilifair2025 #EFTA

๐ŸŒ Siku ya Tatu Karibu Kilifair!

Wadau wote wa sekta ya utaliiโ€”wamiliki wa hoteli, makampuni ya usafirishaji, waendeshaji wa vivutio na watoa huduma wengineโ€”karibuni kwenye banda la EFTA, Namba N26, katika Viwanja vya Magereza, Kisongo - Arusha.

#KaribuKilifair2025 #EFTA
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Tunaposema tunakuwezesha, tunamaanisha kweli! ๐Ÿ’ช Leo ni zamu ya SJS Investment ya Mbeya kukabidhiwa magari 2 aina ya HOWO. Na zamu inayofuata ni yako! Usikwame kufikia ndoto zako wakati sisi tupo. Kwa mawasiliano zaidi tupigie sasa: ๐Ÿ“ž +255 765 417 387 #Tunakuwezesha #EFTA

Tunaposema tunakuwezesha, tunamaanisha kweli! ๐Ÿ’ช

Leo ni zamu ya SJS Investment ya Mbeya kukabidhiwa  magari 2 aina ya HOWO.

Na zamu inayofuata ni yako! Usikwame kufikia ndoto zako wakati sisi tupo.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie sasa:

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

#Tunakuwezesha #EFTA
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Unahitaji Wheel Loader kwa Mradi wa Ujenzi au Madini? EFTA Ltd ipo itakukuwezesha โ€” kumiliki kwa mkopo bila dhamana! Malipo ya awali ni nafuu na muda mrefu wa marejesho. Kwa mawasiliano zaidi tupigie sasa: ๐Ÿ“ž Tupigie: +255 765 417 387 #MikopoYaUjenzi #WheelLoader

Unahitaji Wheel Loader kwa Mradi wa Ujenzi au Madini?

EFTA Ltd ipo itakukuwezesha โ€” kumiliki kwa mkopo bila dhamana!  

Malipo ya awali ni nafuu na muda mrefu wa marejesho.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie sasa:

๐Ÿ“ž Tupigie: +255 765 417 387

 #MikopoYaUjenzi #WheelLoader
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Tuna thamini ndoto yako, si mali zako. Kupitia EFTA, unaweza kumiliki gari la mizigo au mashine za aina mbalimbali bila dhamana. โœ… Malipo ya awali kuanzia 25% โœ… Marejesho hadi miaka 3 โœ… Mchakato rahisi ๐Ÿ“ž +255 765 417 387 |๐ŸŒ efta.co.tz #MkopoWaMagari #EFTA

Tuna thamini ndoto yako, si mali zako.

Kupitia EFTA, unaweza kumiliki gari la mizigo au mashine za aina mbalimbali bila dhamana.

โœ… Malipo ya awali kuanzia 25%
โœ… Marejesho hadi miaka 3
โœ… Mchakato rahisi

๐Ÿ“ž +255 765 417 387 |๐ŸŒ efta.co.tz

 #MkopoWaMagari #EFTA
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽฌ Kutana na Ombeni kutoka Arusha! Kutoka kutumia mashine ya kizamani hadi kuongeza uzalishaji hadi 70% kwa msaada wa mkopo wa EFTA bila dhamana! ๐Ÿš€ Na wewe pia unaweza! โœ… Malipo ya awali kuanzia 25% ๐Ÿ“ž +255 765 417 387 ๐ŸŒย efta.co.tz #EFTA #Tunakuwezesha

Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Ni mwendo wa kukabidhi!๐Ÿค Kila siku ni hatua mpya kwa wateja wetu na leo, Jeremia Erasto ameandika historia yake mpya katika biashara yake!๐Ÿ‘ Tumemkabidhi Scania R440 kupitia mkopo wa EFTA bila dhamana! Na wewe tupigie tufanye jambo kwako. +255 765 417387 #MikopoWaMagari

Ni mwendo wa kukabidhi!๐Ÿค

Kila siku ni hatua mpya kwa wateja wetu na leo, Jeremia Erasto ameandika historia yake mpya katika biashara yake!๐Ÿ‘

Tumemkabidhi Scania R440 kupitia mkopo wa EFTA  bila dhamana!

Na wewe tupigie tufanye jambo kwako.

+255 765 417387

#MikopoWaMagari
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Mkulima, umechoka kukodisha trekta kila msimu? Unatamani kumiliki trekta lako mwenyewe, kulima kwa wakati, na kuongeza kipato kwa kusaidia wakulima wengine? EFTA itakuwezesha bila dhamana! Kwa mawasiliano zaidi tupigie au tuma namba zako nasi tutakupigia ๐Ÿ“ž: +255 765 417 387

Mkulima, umechoka kukodisha trekta kila msimu? 

Unatamani kumiliki trekta lako mwenyewe, kulima kwa wakati, na kuongeza kipato kwa kusaidia wakulima wengine?

EFTA itakuwezesha bila dhamana!

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au tuma namba zako nasi tutakupigia

๐Ÿ“ž: +255 765 417 387
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Hatukupi matumaini tuโ€“ tunakupa pia na ufunguo wa mwanzo mpya wa biashara yako!๐Ÿ”‘ Kama kwa wenzako imewezekana, wewe unasubili nini? Tupigie sasa au tuma namba zako za simu na mkoa uliopo tukuwezeshe pia. ๐Ÿ“ž +255 765 417 387 | ๐ŸŒ efta.co.tz #MkopoBilaDhamana

Hatukupi matumaini tuโ€“ tunakupa pia na ufunguo wa mwanzo mpya wa biashara yako!๐Ÿ”‘ 

Kama kwa wenzako imewezekana, wewe unasubili nini?

Tupigie sasa au tuma namba zako za simu na mkoa uliopo tukuwezeshe pia.

๐Ÿ“ž +255 765 417 387 | ๐ŸŒ efta.co.tz

#MkopoBilaDhamana
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio Hayangojiโ€”Na Wewe Usisubiri! ๐Ÿ—๏ธ๐Ÿšง Unahitaji excavator kwa ajili ya kazi zako za ujenzi au madini? Kwa nini ukwamishwe na dhamana au makaratasi ya benki? EFTA inakuwezesha kupata mkopo kwa njia rahisi na haraka! Tupigie sasa, tukuwezeshe: ๐Ÿ“ž : +255 765 417 387

Mafanikio Hayangojiโ€”Na Wewe Usisubiri! ๐Ÿ—๏ธ๐Ÿšง

Unahitaji excavator kwa ajili ya kazi zako za ujenzi au madini?

Kwa nini ukwamishwe na dhamana au makaratasi ya benki?

EFTA inakuwezesha kupata mkopo kwa njia rahisi na haraka!

Tupigie sasa, tukuwezeshe:

๐Ÿ“ž : +255 765 417 387
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Kwa Mikopo ya Zana Bora za Kilimo โ€” EFTA Ndio Jibu Lako! Tunakopesha pia majembe ya kisasa, planter, mashine za kunyunyizia dawa pamoja na mashine nyingine nyingi ambazo zitakusaidia kufanya kilimo chenye tija. ๐Ÿ“žTupigie sasa : +255 765 417 387 #MkopoBilaDhamana

Kwa Mikopo ya Zana Bora za Kilimo โ€” EFTA Ndio Jibu Lako!

Tunakopesha pia majembe ya kisasa, planter, mashine za kunyunyizia dawa pamoja na mashine nyingine nyingi ambazo zitakusaidia kufanya kilimo chenye tija.

๐Ÿ“žTupigie sasa : +255 765 417 387

#MkopoBilaDhamana
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Mkulima, usikosee tena kuanza msimu bila vitendea kazi vya kisasa! EFTA tunakupa fursa ya mkopo nafuu wa trekta bila hitaji la dhamana yoyote. Tupigie tukuwezeshe kumiliki trekta au mashine nyingine ya kilimo. ๐Ÿ“ž : +255 765 417 387 #MkopoWaTrekta #BilaDhamana #KilimoKwanza

Mkulima, usikosee tena kuanza msimu bila vitendea kazi vya kisasa!

EFTA tunakupa fursa ya mkopo nafuu wa trekta bila hitaji la dhamana yoyote.

Tupigie tukuwezeshe kumiliki trekta au mashine nyingine ya kilimo.

๐Ÿ“ž : +255 765 417 387

#MkopoWaTrekta #BilaDhamana #KilimoKwanza
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ข EFTA inakaribisha kampuni zenye sifa kuwasilisha maombi ya kutoa huduma za ukaguzi wa nje kwa kipindi cha 2025โ€“2027. ๐Ÿ“ง Tuma maombi: [email protected] ๐Ÿ—“ Mwisho: 30 Julai 2025 ๐Ÿ”— Maelezo zaidi: rb.gy/ab53mu #UkaguziWaNdani #EFTA

๐Ÿ“ข EFTA inakaribisha kampuni zenye sifa kuwasilisha maombi ya kutoa huduma za ukaguzi wa nje kwa kipindi cha 2025โ€“2027.

๐Ÿ“ง Tuma maombi: procurement@efta.co.tz

๐Ÿ—“ Mwisho: 30 Julai 2025

๐Ÿ”— Maelezo zaidi: rb.gy/ab53mu

#UkaguziWaNdani #EFTA
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšง Clamp Loader LW500KV โ€“ Mashine ya kunyanyua hadi kilo 5,000! Inapatikana sasa kupitia mkopo wa EFTA usiohitaji dhamana. Inafaa kwa: Misitu, Ujenzi, Bandari & Usafirishaji. Kwa mawasiliano zaidi tupigie: ๐Ÿ“ž +255 765 417 387 ๐ŸŒ efta.co.tz #MkopoBilaDhamana

๐Ÿšง Clamp Loader LW500KV โ€“ Mashine ya kunyanyua hadi kilo 5,000!

Inapatikana sasa kupitia mkopo wa EFTA usiohitaji dhamana.

Inafaa kwa: Misitu, Ujenzi, Bandari & Usafirishaji.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie:

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

๐ŸŒ efta.co.tz

#MkopoBilaDhamana
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Omba Mkopo. Tukuidhinishie. Ukabidhiwe Gari au Mashine. Hakuna dhamana. Hakuna usumbufu. Ni wewe na mafanikio yako. โœ… Malipo ya awali ni kuanzia 25% โœ… Marejesho hadi miaka 3 Kwa mawasiliano zaidi tupigie au tuma namba zako tukupigie. ๐Ÿ“ž +255 765 417 387 #MkopoWaMashine

Omba Mkopo. Tukuidhinishie. Ukabidhiwe Gari au Mashine.

Hakuna dhamana. Hakuna usumbufu. Ni wewe na mafanikio yako.

โœ… Malipo ya awali ni kuanzia 25%
โœ… Marejesho hadi miaka 3

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au tuma namba zako tukupigie.

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

#MkopoWaMashine
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšง Kwa nini ukodishe mashine za ujenzi wakati unaweza KUMILIKI YAKO โ€” kwa urahisi na bila usumbufu wowote? โœ… Hakuna dhamana inayohitajika โœ… Malipo ya awali kuanzia 25% tu โœ… Marejesho nafuu hadi miaka 3 ๐Ÿ“ข Kupitia EFTA, huna sababu ya kusubiri โ€” ni wakati wa KUANZA

๐Ÿšง Kwa nini ukodishe mashine za ujenzi wakati unaweza KUMILIKI YAKO โ€” kwa urahisi na bila usumbufu wowote?  

โœ… Hakuna dhamana inayohitajika 
โœ… Malipo ya awali kuanzia 25% tu 
โœ… Marejesho nafuu hadi miaka 3  

๐Ÿ“ข Kupitia EFTA, huna sababu ya kusubiri โ€” ni wakati wa KUANZA
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšœ Huwezi kuanza na trekta kubwa kwa sasa? Usijali! Tunalo suluhisho rahisi na bora kwa mahitaji yako ya kilimo โ€” Power Tiller! Ni mashine ndogo kwa muonekano, lakini ina uwezo mkubwa wa kukusaidia kutekeleza shughuli zako za kilimo kwa ufanisi na kasi ya hali ya juu. Kwa

๐Ÿšœ Huwezi kuanza na trekta kubwa kwa sasa? Usijali!

Tunalo suluhisho rahisi na bora kwa mahitaji yako ya kilimo โ€” Power Tiller!  

Ni mashine ndogo kwa muonekano, lakini ina uwezo mkubwa wa kukusaidia kutekeleza shughuli zako za kilimo kwa ufanisi na kasi ya hali ya juu.  

Kwa
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

๐ƒ๐ก๐š๐ฆ๐ข๐ซ๐š ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐š ๐ก๐š๐ฎ๐ค๐ฐ๐š๐ฆ๐ข ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ฌ๐š๐Ÿ๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐Ÿ๐š๐ง๐ข๐ค๐ข๐จ ๐ฒ๐š ๐›๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐จ. Na ndio maana, unapotusikia tukisema โ€œ๐ญ๐ฎ๐ญ๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ณ๐ž๐ฌ๐ก๐š,โ€ tunamaanisha kweliโ€”๐ก๐š๐ญ๐ฎ๐ญ๐š๐ง๐ข๐ง๐ข๐ข. Iwe ๐ฎ๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข

๐ƒ๐ก๐š๐ฆ๐ข๐ซ๐š ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐š ๐ก๐š๐ฎ๐ค๐ฐ๐š๐ฆ๐ข ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ฌ๐š๐Ÿ๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐Ÿ๐š๐ง๐ข๐ค๐ข๐จ ๐ฒ๐š ๐›๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐จ.

Na ndio maana, unapotusikia tukisema โ€œ๐ญ๐ฎ๐ญ๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ณ๐ž๐ฌ๐ก๐š,โ€ tunamaanisha kweliโ€”๐ก๐š๐ญ๐ฎ๐ญ๐š๐ง๐ข๐ง๐ข๐ข.

Iwe ๐ฎ๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšง BARABARA HAZIJENGWI KWA NDOTO โ€” ZINAJENGWA KWA VIFAA SAHIHI! Mkandarasi, usikwame kwa sababu ya kukosa Compactor au mashine nyingine yoyote unayoihitaji! Kupitia EFTA, sasa unaweza kumiliki Compactor yako kwa masharti nafuu na bila usumbufu. โœ… Hakuna dhamana โœ… Malipo

๐Ÿšง BARABARA HAZIJENGWI KWA NDOTO โ€” ZINAJENGWA KWA VIFAA SAHIHI!

Mkandarasi, usikwame kwa sababu ya kukosa Compactor au mashine nyingine yoyote unayoihitaji!

Kupitia EFTA, sasa unaweza kumiliki Compactor yako kwa masharti nafuu na bila usumbufu.  

โœ… Hakuna dhamana 
โœ… Malipo
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Equity for Tanzania (EFTA) inawakumbusha kampuni zote zilizosajiliwa na zenye uzoefu katika huduma za ukaguzi wa fedha kuwasilisha maombi ya kutoa huduma za ukaguzi wa nje kwa kipindi cha 2025โ€“2027. โณ Muda wa kutuma maombi unazidi kuyoyoma! Ikiwa kampuni yako inajihusisha na

Equity for Tanzania (EFTA) inawakumbusha kampuni zote zilizosajiliwa na zenye uzoefu katika huduma za ukaguzi wa fedha kuwasilisha maombi ya kutoa huduma za ukaguzi wa nje kwa kipindi cha 2025โ€“2027.

  โณ Muda wa kutuma maombi unazidi kuyoyoma!

Ikiwa kampuni yako inajihusisha na
Equity for Tanzania (@efta_tz) 's Twitter Profile Photo

Je unamiliki lori na uko tayari kupanua biashara? Pata tanker ya mafuta kupitia mkopo rahisi kutoka EFTA โ€” lipa asilimia 25 tu kama malipo ya awali, bila dhamana, na urejeshe kidogo kidogo kwa hadi miaka 3. โœ… Ongeza uwezo wa kusambaza mafuta โœ… Kuza biashara yako kwa haraka โœ…

Je unamiliki lori na uko tayari kupanua biashara?

Pata tanker ya mafuta kupitia mkopo rahisi kutoka EFTA โ€” lipa asilimia 25 tu kama malipo ya awali, bila dhamana, na urejeshe kidogo kidogo kwa hadi miaka 3.

โœ… Ongeza uwezo wa kusambaza mafuta
โœ… Kuza biashara yako kwa haraka
โœ