Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile
Tanzania ECD Network

@ecdnetwork

A National Umbrella Network advancing Early Childhood Development in Tanzania through advocacy, knowledge, and collaboration.

ID: 918347659

linkhttp://www.tecden.or.tz calendar_today01-11-2012 05:57:24

547 Tweet

977 Followers

3,3K Following

Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Malezi Summit 2025! A national platform uniting leaders, practitioners, policymakers, parents & partners to reimagine Early Childhood Development & Positive Parenting in Tanzania. 🤝 Connect | 💡 Share | 🌱 Innovate for our youngest generation! #MaleziSummit2025

Tanzania Malezi Summit 2025!
A national platform uniting leaders, practitioners, policymakers, parents & partners to reimagine Early Childhood Development & Positive Parenting in Tanzania.
🤝 Connect | 💡 Share | 🌱 Innovate for our youngest generation!
#MaleziSummit2025
Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

#Happy International Labor Day! We celebrates all ECD champions: teachers, caregivers, social workers, and partners for their tireless efforts in shaping a better future for our children. Your work matters. More details tecden.or.tz #LabourDay2025 #ECDChampions

#Happy International Labor Day!

We celebrates all ECD champions: teachers, caregivers, social workers, and partners for their tireless efforts in shaping a better future for our children. Your work matters. More details tecden.or.tz

#LabourDay2025 #ECDChampions
Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

We're excited to announce our new partnership with Echidna Giving! This three-year collaboration will strengthen TECDEN's impact in early childhood development across Tanzania. Stay tuned for more updates! #EarlyChildhoodDevelopment #Tanzania #Partnership #Sustainability

Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

Under #MtotoKwanza, TECDEN & partners joined the Lindi Nutrition Steering Committee to advance the ECD Agenda—ensuring children’s well-being through nutrition, education, health & protection. Together, we’re shaping a stronger future for Tanzania’s youngest generation! #ECDAgenda

Under #MtotoKwanza, TECDEN & partners joined the Lindi Nutrition Steering Committee to advance the ECD Agenda—ensuring children’s well-being through nutrition, education, health & protection.
Together, we’re shaping a stronger future for Tanzania’s youngest generation!
#ECDAgenda
Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

We’re proud to join the African Childcare Forum in Kigali 🇷🇼 — an inspiring space for learning, sharing, and uniting to advance quality childcare across Africa. As we prepare for the Tanzania Malezi Summit 2025, we return with fresh insights to strengthen childcare systems in 🇹🇿

We’re proud to join the African Childcare Forum in Kigali 🇷🇼 — an inspiring space for learning, sharing, and uniting to advance quality childcare across Africa.

As we prepare for the Tanzania Malezi Summit 2025, we return with fresh insights to strengthen childcare systems in 🇹🇿
Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

Kuwekeza katika maendeleo ya awali ya watoto ni msingi wa Tanzania imara na endelevu. Kongamano la #TMS 2025 litaunganisha wadau wote kuimarisha sera na mifumo ya malezi ya mtoto. Jiunge nasi kujenga mustakabali bora kwa watoto wetu. #WekezaKwaWatoto Dr. Dorothy Gwajima UNICEF Tanzania

Kuwekeza katika maendeleo ya awali ya watoto ni msingi wa Tanzania imara na endelevu. Kongamano la #TMS 2025 litaunganisha wadau wote kuimarisha sera na mifumo ya malezi ya mtoto. Jiunge nasi kujenga mustakabali bora kwa watoto wetu.
#WekezaKwaWatoto
Dr. Dorothy Gwajima UNICEF Tanzania
cdo_mzumbe (@cdo_mzumbe) 's Twitter Profile Photo

Mchakato wa maandalizi ya mtoto utakao mwezesha mtoto kukua,kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiuchumii kutategemea aina ya malezi atakayo pewa mtoto. Kuelekea Kongamano kubwa la Malezi, cdo_mzumbe inaungana na Tanzania ECD Network kuwaalika wadau kushiriki #TMS2025.

Mchakato wa maandalizi ya mtoto utakao mwezesha mtoto kukua,kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiuchumii kutategemea aina ya malezi atakayo pewa mtoto. Kuelekea Kongamano kubwa la Malezi, cdo_mzumbe inaungana na Tanzania ECD Network  kuwaalika wadau kushiriki #TMS2025.
Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Malezi Summit 2025 "If we want to change the story, we must begin by changing the way the story is written, who is allowed to tell it, and whose voices are included.- Elizabeth Maginga TECDEN Board Chair #InvestInchildren #ECDAgenda #ECDBudget #Policyinfluence

Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

The Lancet (2016) – Series on Early Childhood Development: Inasema kuwa uwekezaji katika miaka ya awali hupunguza gharama za afya, elimu ya marekebisho, na mifumo ya haki ya jinai — na huongeza tija kazini, kipato, na mchango wa mtu katika uchumi wa taifa. #MaendeleoYaMtoto

Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

🌍 As part of our continued efforts in #ECD coordination & advocacy, TECDEN proudly co-organized the Tanzania Malezi Summit 2025 WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII OFISI YA RAIS TAMISEMI uniting partners to call for greater investment in Early Childhood Development services across 🇹🇿. #InvestInECD #TMS2025

We continue to champion multi-sectoral collaboration for impactful change in #ECD. 🤝 At the Tanzania Malezi Summit 2025, we united through showcases, presentations & dialogue to call for more investment in ECD. Hilton Foundation UNICEF Tanzania #Malezi2025 #InvestInECD #ECDTanzania

We continue to champion multi-sectoral collaboration for impactful change in #ECD. 🤝 At the Tanzania Malezi Summit 2025, we united through showcases, presentations & dialogue to call for more investment in ECD. Hilton Foundation UNICEF Tanzania
#Malezi2025 #InvestInECD #ECDTanzania
Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko azindua kampeni ya kuhamasisha uanzishwaji wa vituo vya malezi ya awali ngazi ya jamii. Watoto milioni 9 (miaka 0–8) wapo nchini, lakini kuna vituo 206 pekee! Tuwekeze katika afya, elimu na ustawi wa mtoto kwa mustakabali bora wa taifa. The African Early Childhood Network

Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

Kupitia #MtotoKwanza, @ecdnetwork na wataalamu wa lishe, ustawi wa jamii, CSOs na Wizara walifanya tathmini ya utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto. Lengo: Kuimarisha ushirikiano wa wadau katika afua jumuishi kwa maendeleo ya mtoto.

Kupitia #MtotoKwanza, @ecdnetwork na wataalamu wa lishe, ustawi wa jamii, CSOs na Wizara walifanya tathmini ya utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.
Lengo: Kuimarisha ushirikiano wa wadau katika afua jumuishi kwa maendeleo ya mtoto.
Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

Kila dakika unayoongea, kucheza au kusikiliza mtoto wako ni uwekezaji mkubwa katika ubongo wake 🌱🧠. Muda wako ndio msaada bora zaidi kwa ukuaji wake wa kiakili, kihisia na kijamii. #TMS2025 #MaleziBora #MtotoNiMalezi Dr. Dorothy Gwajima @UNICEFT WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII HakiElimu The African Early Childhood Network

Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

UZINDUZI RASMI Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Taifa wa Vikundi vya Wazazi vya Malezi na Matunzo ya Mtoto jijini Mwanza wakati wa #TanzaniaMaleziSummit2025. Mwongozo huu ni hatua kubwa ya kuimarisha malezi na matunzo ya watoto. #MtotoKwanza

Tanzania Malezi Summit 2025 Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Malezi kwa Muktadha wa Dini ya Kiislamu na Kikristo hatua ya kihistoria kwa ustawi wa mtoto! Mtoto aliyelelewa kwa misingi ya imani hujengwa kuwa raia bora! #MtotoKwanza Dr. Dorothy Gwajima

Tanzania Malezi Summit 2025
Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Malezi kwa Muktadha wa Dini ya Kiislamu na Kikristo hatua ya kihistoria kwa ustawi wa mtoto!

Mtoto aliyelelewa kwa misingi ya imani hujengwa kuwa raia bora! #MtotoKwanza Dr. Dorothy Gwajima
Tanzania ECD Network (@ecdnetwork) 's Twitter Profile Photo

🧠 Mtoto anapopata malezi bora katika miaka ya awali, Taifa hupata nguvu kubwa ya maendeleo! #Malezi2025Mwanza imeonesha kuwa kuwekeza mapema kwa watoto wa 0-8 ni hatua ya kitaifa kuelekea ustawi na uchumi jumuishi. 👉🏽 #MtotoNiMalezi #MaleziCampaign #TanzaniaYaKesho #TMS2025

🧠 Mtoto anapopata malezi bora katika miaka ya awali, Taifa hupata nguvu kubwa ya maendeleo!

#Malezi2025Mwanza imeonesha kuwa kuwekeza mapema kwa watoto wa 0-8 ni hatua ya kitaifa kuelekea ustawi na uchumi jumuishi.
👉🏽 #MtotoNiMalezi #MaleziCampaign #TanzaniaYaKesho #TMS2025