EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profileg
EastAfricaTV

@eastafricatv

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter
Email: [email protected]

ID:169557169

linkhttp://www.eatv.tv calendar_today22-07-2010 16:39:48

171,7K Tweets

1,7M Followers

7 Following

Follow People
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Kuna nyimbo zaidi ya 20 na mshindi wa tuzo ya Grammy Africa na Hit Maker wa ngoma ya 'Water' Tyla ambazo zimetengenezwa na Producer @S2Kizzyofficial

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kocha wa Manchester United Eric Ten Hag amesema timu hiyo ina matatizo mengi sana. Amesema hayo baada ya kikosi chake kukubali kipigo cha bao 4-0 dhidi ya Crystal Palace jana usiku kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uingereza EPL.

Kufuatia kipigo hicho ambao unakuwa ni mchezo…

#MICHEZO: Kocha wa Manchester United Eric Ten Hag amesema timu hiyo ina matatizo mengi sana. Amesema hayo baada ya kikosi chake kukubali kipigo cha bao 4-0 dhidi ya Crystal Palace jana usiku kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uingereza EPL. Kufuatia kipigo hicho ambao unakuwa ni mchezo…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Pambano la Tyson fury dhidi ya Usyk linafanyika tarehe ngapi?
.
.
.
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

#QUIZ: Pambano la Tyson fury dhidi ya Usyk linafanyika tarehe ngapi? . . . . . . Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.#QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV #HainaKuchoka
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Bhoke Nia Egina amesema watu wengi wanasingizia Mungu amewapa mwili mnene lakini siyo kweli, wao wenyewe ndio wanaendekeza unene kutokana na mitindo ya maisha wanayoishi.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: “Sheria imeweka adhabu kali sana katika makosa ya video au picha za ngono, mtu anaweza kupata adhabu ya faini isiyopungua hata milioni 50, ukiangalia sheria ya makosa ya kimtandao adhabu zake zimeanzia Milioni 5, Milioni 3 na isiyopungua milioni 5, lakini katika kosa hili…

#DADAZ: “Sheria imeweka adhabu kali sana katika makosa ya video au picha za ngono, mtu anaweza kupata adhabu ya faini isiyopungua hata milioni 50, ukiangalia sheria ya makosa ya kimtandao adhabu zake zimeanzia Milioni 5, Milioni 3 na isiyopungua milioni 5, lakini katika kosa hili…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

MBUNGE AIBUA MVUTANO na SPIKA Amsomea KAMUSI “Hilo NENO Nimelitengeneza MWENYEWE, Hilo Neno LINA...'
youtu.be/QpC6Vg7k1FU

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

MBUNGE BILA UOGA AHOJI “Kwanini WANAFUNZI Wanabeba MABEGI Kama Wanaenda JESHINI” Achambua ELIMU
youtu.be/43r_4KgNr-I

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Moja ya tatizo linalotusibu hasa katika elimu yetu ya msingi mzigo wa masomo ni mkubwa sana, haiwezekani mtoto wa shule ya msingi ana masomo zaidi ya tisa, matokeo yake anabeba begi lenye vitabu na madaftari utafikiri anakwenda kwenye mafunzo ya kijeshi, tupunguze idadi…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Kipenga Extra 🔴 UKWELI KUHUSU GOLI LA SIMBA, MBIO ZA UBINGWA WA LIGI KUU NBC, AZAM, SIMBA, YANGA youtube.com/live/TzZBDuHjr…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Katika mwaka wa fedha 2024/2025 serikali itaongeza fursa za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 223,201 hadi 252,245, pia serikali itatoa mikopo kwa wanafunzi 84,500 wa mwaka wa kwanza ambapo shahada ya kwanza 80,000, shahada za juu 2,000, wanaosoma nje ya nchi 500 na…

'Katika kuboresha miundombinu ya kufundishia na kujifunzia katika ngazi ya elimu ya msingi, sekondari na ualimu serikali itawezesha ujenzi wa shule za sekondari za kata 226, nyumba za walimu 184 wa sekondari na ununuzi wa vifaa vya maabara,' - Profesa Adolf Mkenda, Waziri wa…

'Katika mwaka wa fedha 2024/25, Wizara imepanga kutekeleza vipaumbele vitano vyenye lengo la kuongeza ubora wa elimu kwa kuwezesha vijana wa Kitanzania kupata maarifa, ujuzi, kujiamini, kujiajiri na kuajirika, vipaumbele vyenye kujielekeza katika kutegemeza tafiti, sayansi,…

'Serikali imeendelea kuimarisha udhibiti na kukuza matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia kwa kutekeleza yafuatayo, imetoa leseni 633 za kumiliki na kutumia vyanzo vya mionzi, uingizaji nchini wa vyanzo vya mionzi 95, utoaji nje ya nchi wa vyanzo vya mionzi 13 na usafirishaji…

'Serikali imetoa mikopo kwa wanafunzi 2,299 wa ngazi ya stashahada yenye jumla ya shilingi bilioni 6,114,790,500.00,' - Profesa Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu

'Serikali imetoa mikopo kwa wanafunzi 2,299 wa ngazi ya stashahada yenye jumla ya shilingi bilioni 6,114,790,500.00,' - Profesa Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu #BajetiWizaraYaElimu #Bungeni #EastAfricaTV
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Serikali imeendelea kuimarisha fursa ya elimu ya ualimu kwa kusajili jumla ya wanachuo 23,331 (wanawake 11,224) ambapo katika vyuo vya ualimu vya serikali wanachuo ni 23,162 na visivyo vya serikali wanachuo ni 169, vilevile, imeendelea na ujenzi mpya wa Chuo cha Ualimu…