Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar - eGAZ (@ega_zanzibar) 's Twitter Profile
Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar - eGAZ

@ega_zanzibar

Zanzibar eGovernment Authority

ID: 1537373509718102017

linkhttp://www.egaz.go.tz calendar_today16-06-2022 09:57:26

218 Tweet

79 Followers

13 Following

Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar - eGAZ (@ega_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) imeshiriki kikamilifu katika Shamrashamra za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kizimkazi, Leo Tarehe 01 Mei 2025...

Muendelezo wa kikao kazi cha utengenezaji Viwango na Miongozo ya TEHAMA (Enterprise Architecture) ya Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ)

Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar - eGAZ (@ega_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

eGAZ inatoa POLE kwa Serikali ya Mapinduzi yaZanzibar, Familia, Ndugu, Jamaa na Marafikipamoja na Watanzania wote kwa ujumla, kufuatia kifo cha Ng. Charles Hilary. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

eGAZ inatoa POLE kwa Serikali ya Mapinduzi yaZanzibar, Familia, Ndugu, Jamaa na Marafikipamoja na Watanzania wote kwa ujumla, kufuatia kifo cha Ng. Charles Hilary.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar - eGAZ (@ega_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ), Ndg. Said Seif Said, leo amekutana na Uongozi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki hiyo Ndg. Ruth Zaipuna.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (Egaz) Ndg. Said Seif Said aungana na viongozi wa Serikali kuuaga mwili wa marehemu Charles Martin Hilary.

Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar - eGAZ na Cybergen - Kusaini Barua ya Makubaliano (LoI) ya kuzindua Mradi wa Majaribio ya kujenga Miundombinu ya Umma ya Kidigitali Zanzibar - (DPI as a Packaged Solution - DaaS)

Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar - eGAZ (@ega_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ), NDG. SAID SEIF SAID, amefanya ziara rasmi Jijini Arusha na kukagua timu ya wataalamu wa eGAZ na Wizara ya Fedha – Tanzania Bara kwa lengo la uboreshaji na uhuwishaji wa Mfumo wa ZanMalipo.