Dullah_theKing🎶 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile
Dullah_theKing🎶

@dullahtheking2

There's no one who can stop you except yourself...
I refuse to stop🙌🏽..

t.me/parachichiFM

ID: 1527071464402391040

calendar_today18-05-2022 23:40:10

375,375K Tweet

95,95K Followers

2,2K Following

Blessed Tillah (MBARIKIWA) (@tillahblessed) 's Twitter Profile Photo

Alikiba: Kwanini umeacha kufanya Interview? Me: Wananisema nina kithembe 🥹💔 Alikiba: Ukiacha kufanya ndo kitatoka? 🤔 Me: Smiles in Joy 🙌🏾 ISHI SANA TAJIRI, I’LL MAKE YOU PROUD 💪🏾

Alikiba: Kwanini umeacha kufanya Interview?
Me: Wananisema nina kithembe 🥹💔
Alikiba: Ukiacha kufanya ndo kitatoka? 🤔
Me: Smiles in Joy 🙌🏾

ISHI SANA TAJIRI, I’LL MAKE YOU PROUD 💪🏾
Dullah_theKing🎶 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kile kipindi cha dhahabu cha "THT" ulikuwa usipomsikia "Tuddy Thomas" basi utamsikia "Emma ze Boy".... Wanetu waliupiga mwingi sana 🙌🏽

Sylor (@beki_mfungaji) 's Twitter Profile Photo

Mguu wa kutoka 🔥🔥 Size 41 - 45 Bei 85k tu WhatsApp au piga simu 0682946668 Tunapatikana Dar Tunafanya delivery Tunatuma mikoa yote

Mguu wa kutoka 🔥🔥
Size 41 - 45
Bei 85k tu
WhatsApp au piga simu 0682946668
Tunapatikana Dar 
Tunafanya delivery 
Tunatuma mikoa yote
Mchizi chizi kichizi (@mchizidamas) 's Twitter Profile Photo

✍🏻Simba bado wanajenga timu ila kwenye game ya leo waliingia na plan ya kupata goli la mepama then warudi midblock kusubiria counter attack kutokana na kasi ya mpinzani ikawalazimu kucheza low block wakiwa compact kabisa kwa 90% ya mchezo na imewalipa kwa leo kama wageni…👇🏾

✍🏻Simba bado wanajenga  timu ila kwenye game ya leo waliingia na plan ya kupata goli la mepama then warudi midblock kusubiria counter attack kutokana na kasi ya mpinzani ikawalazimu kucheza low block wakiwa compact kabisa kwa 90% ya mchezo na imewalipa kwa leo kama wageni…👇🏾
Dullah_theKing🎶 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kuna kigari cha mwana kimenipita Maeneo ya "VunjaBei" hapa kinagonga ngoma ya TI {Broadcast Live"🎶 Sauti ipo juu sana kiasi kwamba amefika Uyole ila hapa bado tunaisikia 👇🏽 "OK we broadcast live from the WesSide"🎶 Watu wanaishi bhana 😂

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Ukubwa wa kifua chako hauwezi kufafanua uanaume wako, bali roho iliyo ndani ya kifua chako ndiyo inayofanya hivyo. Kunahusisha zaidi akili, huruma, ufahamu, busara, uadilifu na wema