KING WA DSM 👑 (@dsm_wa) 's Twitter Profile
KING WA DSM 👑

@dsm_wa

Mjini njoo na akili vingine utavikuta huku (DSM)

ID: 1313746301352321024

calendar_today07-10-2020 07:42:19

19,19K Tweet

3,3K Takipçi

4,4K Takip Edilen

KING WA DSM 👑 (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

BUSEGA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MRADI MKUBWA WA MAJI Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Busega, wilaya ya Busega mkoani Simiyu Mhandisi. Paul Hezorn, amesema mradi wa maji Lamadi uliojengwa kwa Tsh. Bilioni 12.83 zilizotolewa na Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa una

KING WA DSM 👑 (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia anawakilisha taifa kwa hekima, busara na heshima kuu duniani. Tunajivunia sana kuwa na kiongozi mwenye maono ya kweli.

Mhe. Rais Samia anawakilisha taifa kwa hekima, busara na heshima kuu duniani. Tunajivunia sana kuwa na kiongozi mwenye maono ya kweli.
Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Marekani imepata uhuru 1776 ila mpaka leo kuna watu hawana mahali pa kuishi wanalala mitaani. Kweli maendeleo ni hatua. Hizi nyumba 109 mwaka jana walikabidhiwa ndugu zetu waliopata maafa ya Hanang. Sisemi hii kazi ya nani wanasema tunamsifia sana ila moyoni mnajua kazi kaifanya!

Natalia John (@nataliajohn19) 's Twitter Profile Photo

SHULE YA SEKONDARI MANCHALI, DODOMA. “Wanafunzi wa kike, ambao awali walikumbana na changamoto za umbali na mazingira duni ya kusomea, sasa wanapata fursa sawa za kielimu." #TanzaniaYaSamia #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongambele

KING WA DSM 👑 (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025.

Msigwa kakaa ndani ya chadema zaidi ya miaka 20, zaidi ya wanachama elfu 20 wamehama chama ndani ya mwiezi 2 tu, adhari yake tutakuja kuiona baada ya mwaka 1

MAKASHA YANAYOHUDUMIWA NA BANDARI YA DAR ES SALAAM YAMEONGEZEKA Julai 2023-Februari 2024: Makasha 670,724 Julai 2024-Februari 2025: Makasha 686,515 Uwekezaji uliofanywa bandari ya Dar es Salaam umelipa. #MguuKwaMguu

MAKASHA YANAYOHUDUMIWA NA BANDARI YA DAR ES SALAAM YAMEONGEZEKA

Julai 2023-Februari 2024: Makasha 670,724
Julai 2024-Februari 2025: Makasha 686,515

Uwekezaji uliofanywa bandari ya Dar es Salaam umelipa.
#MguuKwaMguu
KING WA DSM 👑 (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

Yaani viongozi wa chadema wakiona haya machafuko wanatamani kweli yawepo Tanzania, hivi unadhani wanaakili kweli Tanzania yetu kusudi iwe salama nilazima Oktoba Tuwajibike

KING WA DSM 👑 (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

Historia itamkumbuka Rais Samia kwa kukamilisha miradi yote ya kimkakati iliyoachwa na mtangulizi wake sifa ya kiongozi bora ni kutimiza ahadi Mama ametimiza ahadi hakuna kilichosimama. Asante sana Mama.

Historia itamkumbuka Rais Samia kwa kukamilisha miradi yote ya kimkakati iliyoachwa na mtangulizi wake sifa ya kiongozi bora ni kutimiza ahadi Mama ametimiza ahadi hakuna kilichosimama. 

Asante sana Mama.
KING WA DSM 👑 (@dsm_wa) 's Twitter Profile Photo

HAYA NDIO MADHARA YA MAANDAMANO, RAIS SAMIA AMETUFUNZA 4Rs kutumia ndio siraha kubwa ndio maana Tanzania tumefikia hapa tulipo