DR. MJEMMAS ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dr_mjemmas) 's Twitter Profile
DR. MJEMMAS ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@dr_mjemmas

God First | Mmed.ENT H/Neck | Saving lives is my priority | CHELSEA โšฝ | AFYA CARE SUPPORTER.

ID: 452326830

calendar_today01-01-2012 18:16:38

16,16K Tweet

4,4K Takipรงi

3,3K Takip Edilen

Mnazi๐Ÿ˜ค (@mnazi36) 's Twitter Profile Photo

Unamuona kabisa adui hali dhoofu bin hali na anajikaza kweli, ila kiuhalisia anajua kajichokea sasa analazimisha,,,,,, mnajuaga nini kinafwata,,,,,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tuendelee kusubiri ๐Ÿ’™

Unamuona kabisa adui hali dhoofu bin hali na anajikaza kweli, ila kiuhalisia anajua kajichokea sasa analazimisha,,,,,, mnajuaga nini kinafwata,,,,,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tuendelee kusubiri

๐Ÿ’™
Vestibular First (@vestibularfirst) 's Twitter Profile Photo

Have you tried these tips from Dr. Sue Whitney for BPPV treatment? Register v1st.co/Zuma with the wonderful Dr. Francisco Zuma e Maia (recorded if you can't make Feb 22). We're giving away (for the FIRST TIME EVER) an otoconia fountain! #bppv #oto #Neurology #PT

Have you tried these tips from Dr. Sue Whitney for BPPV treatment? Register v1st.co/Zuma with the wonderful Dr. Francisco Zuma e Maia (recorded if you can't make Feb 22). We're giving away (for the FIRST TIME EVER) an otoconia fountain! #bppv #oto #Neurology #PT
Justine baada (@justinebaada1) 's Twitter Profile Photo

Nimeanzisha maabara hii ya sayansi ili kuwajengea wanafunzi msukumo kujifunza sayansi kwa vitendo. Hii inaongeza hamasa zaidi ya wao kujifunza masomo haya hivyo mabadiliko makubwa ya ufaulu katika mitihani yao Good Is Born But Better Is Created

Nimeanzisha maabara hii ya sayansi ili kuwajengea wanafunzi msukumo kujifunza sayansi kwa vitendo. 
Hii inaongeza hamasa zaidi ya wao kujifunza masomo haya hivyo mabadiliko makubwa ya ufaulu katika mitihani yao

Good Is Born But Better Is Created
Sarah Matuja (@sarahmatuja) 's Twitter Profile Photo

Today Dr. Maria Giulia Mosconi delivered an insightful and comprehensive presentation on Ischemic #Stroke Etiological Diagnosis as we are on the verge of winding up the #AcuteStrokeCareModule! Together we can be #GreaterThanStroke World Stroke Org #FutureStrokeLeaders

Today Dr. <a href="/mgiulia_mosconi/">Maria Giulia Mosconi</a> delivered an insightful and comprehensive presentation on Ischemic #Stroke Etiological Diagnosis as we are on the verge of winding up the #AcuteStrokeCareModule! Together we can be #GreaterThanStroke <a href="/WorldStrokeOrg/">World Stroke Org</a> #FutureStrokeLeaders
Justine baada (@justinebaada1) 's Twitter Profile Photo

Jukumu langu ni kuwasaidia wanafunzi kuyaelewa masomo ya sayansi kwa VITENDO zaidi katika mada zao wanazozisoma kinadharia shuleni. Maabara yangu inakufikia popote shule yako ilipo ili kukuza uelewa zaidi katika mada mbalimbali za sayansi. SIMU: 0754346262

Jukumu langu ni kuwasaidia wanafunzi kuyaelewa masomo ya sayansi kwa VITENDO zaidi katika mada zao wanazozisoma kinadharia shuleni.

Maabara yangu inakufikia popote shule yako ilipo ili kukuza uelewa zaidi katika mada mbalimbali za sayansi.

SIMU: 0754346262
Uwimana_MD,Mmed๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ (@urukundo05) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa kama kijana unayejitafuta hakikisha unamiliki Paspot ya kusafiria ni mhimu sana, kwa sasa Uhamiaji Tanzania wamerahisisha zaid,unaweza ukafanya mchakato kwa kupitia Mtandaoni.

Ukiwa kama kijana unayejitafuta hakikisha unamiliki Paspot ya kusafiria ni mhimu sana, kwa sasa <a href="/UhamiajiTz/">Uhamiaji Tanzania</a> wamerahisisha  zaid,unaweza ukafanya mchakato kwa kupitia Mtandaoni.
Justine baada (@justinebaada1) 's Twitter Profile Photo

Ninaandaa MAJARIBIO ya kisayansi yenye ubunifu mkubwa kwa ajili ya wanafunzi kuyaonyesha kwenye mahafali zao. Ninawaandaa wanafunzi KUJIAMINI na kuwa wabunifu kupitia kufanya majaribio mengi ya kisayansi zaidi yenye kukuza uwezo wao wa kufikiri. SIMU: 0754346262

Ninaandaa MAJARIBIO ya kisayansi yenye ubunifu mkubwa kwa ajili ya wanafunzi kuyaonyesha kwenye mahafali zao.
Ninawaandaa wanafunzi KUJIAMINI na kuwa wabunifu kupitia kufanya majaribio mengi ya kisayansi zaidi yenye kukuza uwezo wao wa kufikiri.

SIMU: 0754346262
MNH-Mloganzila (@mloganzila_) 's Twitter Profile Photo

Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya maradhi yanayowakabili.

Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya maradhi yanayowakabili.
Justine baada (@justinebaada1) 's Twitter Profile Photo

Natengeneza maswali mbalimbali ya PRACTICALS za physics kwa LEVO zote za sekondari Nina maarifa ya kutosha tena ni MBUNIFU, na mbobezi zaidi Boresha misingi kwa wanafunzi kujifunza maswali mapya ya practicals na SIO yale yale ya miaka ya nyuma Good Is Born But Better Is Created

Natengeneza maswali mbalimbali ya PRACTICALS za physics kwa LEVO zote za sekondari
Nina maarifa ya kutosha tena ni MBUNIFU, na mbobezi zaidi

Boresha misingi kwa wanafunzi kujifunza maswali mapya ya practicals na SIO yale yale ya miaka ya nyuma

Good Is Born But Better Is Created
Wรกndoto Oremi.๐Ÿ‚ (@fufanchy) 's Twitter Profile Photo

nilikuwaga na wazo ( business idea) kwanini hospital kama Muhimbili isi anzishe gym center ikaaa ndio CLINIC kubwa ya magonjwa kama: heart disease, stroke, obesity, type 2 diabetes, heart disease, many types of cancer, depression and anxiety, and dementia na mengine

nilikuwaga na wazo ( business idea)

kwanini hospital kama Muhimbili isi anzishe gym center ikaaa ndio CLINIC kubwa ya magonjwa kama:

heart disease, stroke, obesity, type 2 diabetes, heart disease, many types of cancer, depression and anxiety, and dementia na mengine
YUSUPH MBILINYI.Jr (@yusuphmbilinyi8) 's Twitter Profile Photo

Mitaala yetu ya shule tungekuwa tunajifunza namna ya kuexplore rasilimali zetu ndani ya nchi,namna ya kuzalisha umeme wa makaa ya mawe,namna ya kuchimba chumba,kilimo cha korosho,na mambo mengine yanayofanana na hayo PRACTICALLY

Kuduishe Kisowile (@kudu_ze_kudu) 's Twitter Profile Photo

FIVE YEARS LATER โค๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ The growth is palpable and the glow is visible! Thank you so much Chief Julieth Sebba Bilakwate, MD for always inspiring me to be, to do and to choose better. It has been an honor to be your mentee. #DoctorRafiki x #DaktariMwandishi #MweleMalecelaDaysOfAction

FIVE YEARS LATER โค๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 
The growth is palpable and the glow is visible! 
Thank you so much Chief <a href="/JuliethSebbaMD/">Julieth Sebba Bilakwate, MD</a> for always inspiring me to be, to do and to choose better. It has been an honor to be your mentee.  #DoctorRafiki x #DaktariMwandishi
#MweleMalecelaDaysOfAction