
Dorcas Owano
@dorcas_owano
Author|Digital reporter|Speaker. “Anything_is_possible!”
ID: 1548942734723006466
18-07-2022 08:08:43
20 Tweet
109 Takipçi
47 Takip Edilen





Karibu ndani ya #MsetoWCW ukiwa na Mzazi Willy M. Tuva , Kadot DJ Flash Kenya na Dorcas Owano na kama kawaida tunapiga miziki kali tokea East Africa na story kibao za mastar . Unasikiliza ukiwa wapi ? Listen Online :citizen.digital/radio/radio-ci… #MsetoWCW #RadioNumberOne


Leo ni Thursday Inamaana kuwa ni TBT. Tutacheza Mziki uliovuma na unazidi kuvuma hadi waleo. Ungana naye Mfalme Mzazi Willy M. Tuva The Queen Kadot na Rais wa Mix DJ Flash Kenya #MsetoTBT #RadioNumberOne




It's a #MsetoTBT na si unajua the party starts here....put on your dancing shoes we are mashing up your afternoon . Kadot DJ Flash Kenya Dorcas Owano #MsetoTBT #RadioNumberOne


Yooooh! Whats poppin!! ... #MsetoHipHopTuesday!Midweek inakupelekaje? We bring you good music to ease your day... Mzazi Willy M. Tuva DJ Flash Kenya Dorcas Owano #RadioNumberOne


Aloooo! Leo tunatambua wanadada na hustles zao hapa kwenye #MsetoWCW . Kama we ni mwanadada na unajituma heko kwako! Mzazi Willy M. Tuva DJ Flash Kenya Dorcas Owano #MsetoWCW #RadioNumberOne


Nilikuwa napika chapati na nikapika ziwe tofauti na ya watu wengine ili bei yake iwe juu zaidi ya zile za kawaida. Kwa hivyo kwenye hustle,fanya kitu tofauti - Dorcas Owano @mzaziillytuva DJ Flash Kenya #MsetoWCW #RadioNumberOne

Mambo vipi? Leo ni Thursday! Maana kuwa ni #MsetoTBT . Thursday yako inakubamba ukiwa wapi? Ungana naye Mzazi Willy M. Tuva na Dorcas Owano . Hakikisha kuwa uko ndani! #MsetoTBT #RadioNumberOne



Afternoons just got better with #MsetoTBT Mzazi Willy M. Tuva Kadot DJ Flash Kenya Dorcas Owano ready to serve you good vibes . Unasikiliza ukiwa wapi ? Listen Online :citizen.digital/radio #MsetoTBT #RadioNumberOne


Mambo vipi? Kawaida mambo mseto ndani ya Radio Citizen FM . Hii leo ni jumanne kumaanisha kuwa ni siku ya HipHop yaani #MsetoHipHopTuesday . Ungana naye Mzazi Willy M. Tuva Kadot DJ Flash Kenya na Dorcas Owano #MsetoHipHopTuesday! #RadioNumberOne


Happiness! Its a mseto hot Friday! How you feeling this fine day? Kama kawa ndani ya #MamboMseto we keep it lively! Hakikisha uko ndani ukiwa nasi Mzazi Mzazi Willy M. Tuva rais wa mix DJ Flash Kenya na Dorcas Owano Usikose! #MamboMseto #RadioNumberOne
