Dominic Jeremy (@dominicjeremy12) 's Twitter Profile
Dominic Jeremy

@dominicjeremy12

ID: 1602889647276920834

calendar_today14-12-2022 04:54:39

3,3K Tweet

132 Takipรงi

457 Takip Edilen

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba atoa tafakari juu tukio la Polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA katika Mahakama Kuu. "Nilikuwa nashangaa Polisi ndiye anayepaswa kujua kwamba Mahakama imejaa au ni uongozi wa Mahakama ndiyo unapaswa kusema pamejaa, na kujaa maana yake

SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Jamaa anawacheki washkaji zake wanavyotumbua pesa kwenye starehe, ku-impress madem, kuzurura, big boys' purchase Jamaa anakwepa parties, travel trips, events nk Jamaa anainvest kwenye kuusoma mchezo, kupinduameza, kuboresha familia yake Washkaji zake wakaishia kumwita snitch๐Ÿคก

๐‘๐€๐‡๐Œ๐€๐“๐‡ (@rahmath369) 's Twitter Profile Photo

My Personal Entry Model A complete guide PDF ๐Ÿ“„ This model will completely reshape your trading future. If you're interested, just like this post and comment "ENTRY MODEL", and I'll send it to you. (Donโ€™t forget to follow me so I can DM you!)

My Personal Entry Model

A complete guide PDF ๐Ÿ“„ 

This model will completely reshape your trading future.

If you're interested, just like this post and comment "ENTRY MODEL", and I'll send it to you.

(Donโ€™t forget to follow me so I can DM you!)
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Unamwona Ousmane na Mama yake Mzazi pichani na mbele yao kuna nini? Nyuma yao kuna simulizi ya Baba kutoka Mali na Mama mwenye utambulisho wa Senegal, unaona namna Ousmane alipoishukuru familia yake? Ni kwasababu alipitia deni zito la uhamisho wa gharama kwenda Barcelona ana

Unamwona Ousmane na Mama yake Mzazi pichani na mbele yao kuna nini? Nyuma yao kuna simulizi ya Baba kutoka Mali na Mama mwenye utambulisho wa Senegal, unaona namna Ousmane alipoishukuru familia yake? Ni kwasababu alipitia deni zito la uhamisho wa gharama kwenda Barcelona ana
SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Unasikia bro, kama huna watu wa kuwashirikisha mishe nako unazopenda na kutamani ku-accomplish, njoo online funguka Internet imekuwa chimbo la mawazo, both positive & negative. Andika unachowaza utapata watu wanaoendana na ndoto zako. Amini nakwambia!

AR (@ashikruben369) 's Twitter Profile Photo

CRT - LTF entry by using CRT entry method TBS and Model #1 confirmation, TBS = Turtle Body Soup Go backtest it and bless me later... Join : t.me/ashikruben369

CRT - LTF entry by using CRT entry method TBS and Model #1 confirmation,

TBS = Turtle Body Soup 

Go backtest it and bless me later...

Join : t.me/ashikruben369
AR (@ashikruben369) 's Twitter Profile Photo

If you want the complete explanation " PDF " of " CRT + TBS live chart examples part - 5 " Comment " PDF " and I will sent it directly on your DM...

If you want the complete explanation 
" PDF " of " CRT + TBS live chart examples part - 5 "

Comment " PDF " and I will sent it directly on your DM...
Sekenke One ๐ŸŒป (@alexsamoja) 's Twitter Profile Photo

Ukisikia chora 360 degree ndo hii sasa, hii nitalipa kesho na Mwantumu wangu tena tutakuwa juu ya kilele cha Mlima Sekenke, Stay tuned ๐Ÿ˜‰

BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Dalili 11 Zinazoonyesha Mwanamke Ana Tabia ya kulala na wanaume hovyo. Wanaume wengi hupuuza ishara hizi na baadaye hukumbana na maumivu yasiyotarajiwa. 1. Anapenda sana kuvaa nguo za kuonyesha utupu wake. THREAD ๐Ÿงต

Dalili 11 Zinazoonyesha Mwanamke Ana Tabia ya kulala na wanaume hovyo.

Wanaume wengi hupuuza ishara hizi na baadaye hukumbana na maumivu yasiyotarajiwa.

1. Anapenda sana kuvaa nguo za kuonyesha utupu wake.
THREAD ๐Ÿงต
Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

Ila leo Buyers wa Gold wamechezea sana Kichapo. Kuna wimbi kubwa mno leo limekula Fimbo za Mkuu wa Shule ya Kata! Kila niki-Scroll "X", napishana na Red. Account ziko Period๐Ÿ˜. Hili dude (Gold) halinaga Huruma Nyie๐Ÿ˜…

BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Kweli 15 Kuhusu Soko la Mahusiano kwa Wanaume: (Point namba 12 itakushangaza sana) 1. Mbali na tendo la ndoa, mwanamke mara nyingi hana kitu kingine kikubwa cha kumpa mwanaume. THREAD ๐Ÿงต

Kweli 15 Kuhusu Soko la Mahusiano kwa Wanaume:
(Point namba 12 itakushangaza sana)

1. Mbali na tendo la ndoa, mwanamke mara nyingi hana kitu kingine kikubwa cha kumpa mwanaume.

THREAD ๐Ÿงต
SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Oct 29, logically kuna makundi mawili 1. Wanufaika wa mfumo dhalimu uliopo madarakani โ€”naelewa kwanini wanafanya hivyo 2. Waliochoshwa na mfumo dhalimu uliopo madarakani Ninachoshindwa kuelewa ni wadau walio neutral; kwa kweli sijui wanasimamia nini hawa LOSERS!!