Deogratius Shija (@deogratiusshija) 's Twitter Profile
Deogratius Shija

@deogratiusshija

Shalom

ID: 902546002036621312

calendar_today29-08-2017 14:58:30

608 Tweet

2,2K Takipçi

79 Takip Edilen

Deogratius Shija (@deogratiusshija) 's Twitter Profile Photo

*HAYAISHI MPAKA YAISHE* Watu hawajarudi pamoja acha kudanganya. Na tunapojidanganya ndipo tutazidi kukwama. Kuna kitu kimoja mnajitoa ufahamu sana. Ukifuatilia sana mitandaoni Team Mbowe hawana nguvu tena mbele ya Team Lissu. Na hao Team Lissu wanatumia neno tujenge chama

Deogratius Shija (@deogratiusshija) 's Twitter Profile Photo

Inaendelea Halafu utegemee matokeo chanya ya muitikio? Wanaomini katika Lissu wanaamini walioamini katika Mbowe ni machawa, ni wapenda pombe za bure... Ina maana miaka yote 30 hiki chama kilijengwa kwa ununuzi wa pombe za bure? Lissu kaingia madarakani kwa namna ile ile

Deogratius Shija (@deogratiusshija) 's Twitter Profile Photo

Wakati Wapambanaji wetu wanapigwa na Kuumizwa Watanzania wenyewe wako busy na Simba na Yanga, Ufike Muda Wapambanaji wote tuweke silaha zetu chini Tuwaachie watanzania wenyewe wajipambanie

Deogratius Shija (@deogratiusshija) 's Twitter Profile Photo

Sasa hivi Hakuna Tena No reform No Election, Sasa Hivi Tunakwenda na Beat Ya G56 na Nay wa Mitego kwenda CCM Kwa 100M, Kesho kutws na Kuna Derby Ya Kkoo , Hii Nhi Yangu kupata Ukombozi Ni Mpaka Yesu Arudi