Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile
Deograsius Andrew🇹🇿

@deodravis

BA in Economics(UDSM) | Economical & Political Analyist| I Nyeupe ni Nyeupe ⚪ Nyeusi ni Nyeusi⚫.|

ⓝⓔⓥⓔⓡ ⓢⓣⓞⓟ ⓣⓗⓘⓝⓚⓘⓝⓖ

ID: 859644447679803393

calendar_today03-05-2017 05:43:02

15,15K Tweet

4,4K Followers

323 Following

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Kwahyo wewe umeweza kuwafunga hao wengine wote kwa uwezo sio.? Then timu ambayo huifikii kwa ubora na inakufunga kila kila ukija inahtaji kununua mechi iliishinde. Kweli.?

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

KANUNI 14 ZA MAHUSIANO: 1. Mwanamke anayejifanya mgumu kupatikana, hakupendi- usipoteze muda 2. Mwanamke akikukatalia mara moja, usimpe nafasi ya kukukatalia mara ya pili 3. Kamwe usikubali/usivumilie kuvunjiwa heshima na mwanamke 4. Tongoza wanawake wengi kabla ya mwaka

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Ikitokea umelewa ukaanza tu kuonesha watu kama hujalewa ndio watu hugundua kuwa umelewa. Yaani dalili ya kwanza ya mtu aliyelewa ni yeye kusema hajalewa.😂

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Ubunge ni cheo cha hadhi kubwa sana ya kutunga sheria za nchi yetu lakini tutegemee wachekeshaji, wasanii kwa waigizaji kuwa wabunge this time.! Aina ya watu wanaotia nia kuna namna ubunge unashushwa hadhi. Ni mategemeo vyama vitawapitisha wenye sifa pekee Otherwise tutaaibika

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Is it true Aziz Ki has failed as some say? He was signed for the Club World Cup, but Wydad fell short so do Aziz.!. If he regains form at Yanga this season, he’ll prove many wrong in CAFCL. We just love talking failure over success maybe it's just Kariakoo banter who knows.?

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Nina mwana mmoja peace sana kitaa. Cha ajabu ndio nimejua jina lake halisi jana na ni wana zaidi ya miaka miwili😂 Tunaitana tu "Mzee wa ManU" na nimemsave hivyo na ni ile shida na raha. Tunaonana bandani sometimes tunapasha FIFA ivoo. Hakuna alowahi kumuuliza mwenzake jina.😂

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Man to man, Let’s raise a glass for the ladies we lost in relationships because we couldn’t afford to give them money for their hair and gifts, simply because we didn’t even have money for our next meal. It wasn’t our fault, we tried our best, but sadly, it just wasn’t enough.

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Sema katika hali isiyotarajiwa Noni Madueke atawaprove wrong wengi sana msimu ujao. Atakuwa moja ya wachezaji bora wa msimu bookmark this

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Some relationships are born of our striving, crafted by effort and intention. But there are those that blossom without warning divinely woven, not by chance but by purpose. They arrive not because we searched, but because Heaven had already chosen the hour.

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Kuwa makini na uombacho kwa Mungu wako. Majibu ya maombi yako huja kwa namna nyingi na pengine hujajua bado. Unaweza muomba Mungu busara leo ukadhani hajajibu ombi lako na kumbe majibu yake yakawa ni matatizo yatakayokuandama ili utumie busara uliyoomba kuyatatua.

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kurudi nyuma Njombe finest. Kwenye soka taarifa za usajili ni tetesi na tetesi haziwezi kuwa na uhakika 100%. Kazi yako ni nzuri na umekuwa credible source kuliko reporters wote hapa nchini.💪 Headup bro hii ni hatua ya kujiimarisha.

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Dating the hurt is wild. They cage you for a crime not yours, Haunted by ghosts, they guard their doors. Love on trial is pure madness.

Deograsius Andrew🇹🇿 (@deodravis) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati ukiendekeza Unyonge kwa unyonge wako utanyongwa na haki yako usipewe. Hakuna anayezingatia hiyo misemo ya wahenga siku hizi.