Pizallo (@deeh1926) 's Twitter Profile
Pizallo

@deeh1926

ID: 1613071433072001025

calendar_today11-01-2023 07:13:34

35,35K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Joe boy (@martinemasalu) 's Twitter Profile Photo

𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 Yani hujui mambo ya bending moment Resolution of angle Circular motion motion na velocity Hakuna engineering au udaktari hata ualimu unaokuja hivi hivi kwa kutengeneza toys ilitokea kwa akina Newton sio dunia ya sasa ,kama talent haiwezi match na class basi ni kupoteza muda

Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA MUHIMU❗️ Uongozi wa Hospitali ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya unawatafuta ndugu wa Bi.Angela Julius Mgimwa ambaye amefariki toka tarehe 10/09 /2025 na mwili wake bado umehifadhiwa hospitalini hapo kutokana na kukosekana kwa ndugu zake. Angela alikua amelazwa

TAARIFA MUHIMU❗️

Uongozi wa Hospitali ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya unawatafuta ndugu wa Bi.Angela Julius Mgimwa ambaye amefariki toka tarehe 10/09 /2025 na mwili wake bado umehifadhiwa hospitalini hapo kutokana na kukosekana kwa ndugu zake.

Angela alikua amelazwa
Pizallo (@deeh1926) 's Twitter Profile Photo

SERIES OF HUMAN GENERATION 1. *TRADITIONALIST (Waliozaliwa 1922-1945 2. *Baby Boomers (Waliozaliwa 1946-1964)* 3. *Kizazi X (Waliozaliwa 1965-1980)* 4. *Millennials (Waliozaliwa 1981-1996)* 5. *Kizazi Z (Waliozaliwa 1997-2012)* 6. *Kizazi Alpha (Waliozaliwa 2013-2025)*

Puppy🐶 (@puppycute0) 's Twitter Profile Photo

Mzee baba....Kwenye Biashara Kuna Kitu Kinaitwa "Prior Entrace Calculation" Hizi ni zile hesabu unazopiga kuhusiana na biashara+gharama za uendeshaji kabla hujaingia katika biashara hiyo. Threads🧵👇

Mzee baba....Kwenye Biashara Kuna Kitu Kinaitwa "Prior Entrace Calculation" 

Hizi ni zile hesabu unazopiga kuhusiana na biashara+gharama za uendeshaji kabla hujaingia katika biashara hiyo.

Threads🧵👇