Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile
Dedan Wangwe🇹🇿

@dedanwangwe

A Political Activist, Legal Consultant⚖️ & Farmer | Chairperson CHADEMA youths wing for Ilala Party region

ID: 1212990877724889091

calendar_today03-01-2020 06:56:00

12,12K Tweet

15,15K Followers

897 Following

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Ni zamu ya WanaCCM pia kukikomboa Chama chao kutoka mikononi mwa kikundi kidogo cha watu na kukirejesha kwa Wanachama na wa-Tanzania, kama ilivyofanyika kwa CHADEMA. Wakifanikisha hilo, ndipo tutafanikiwa kulijenga taifa hili kuwa bora zaidi hapa Afrika na Duniani. INAWEZEKANA📌

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Kaka Mkuu (HP) aache Uvivu na uzito wa kusema "NR,NE."😅 Yeye anadai CCM isiende kwenye Uchaguzi bila kufanya mchakato halali wa kuwapata wagombea wao. Wananchi tunasema tusiende kwenye Uchaguzi bila Sheria bora na mazingira ya Uhuru na Haki. Sasa Utofauti upo wapi hapa?🤷🏼‍♂️😁

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Surely mnatarajia CCM imtoe Mhe. Samia Suluhu, ili imlete nani kutoka miongoni mwao mnayedhani ni mwema zaidi? Please educate me😀

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Kulipia Kodi biashara ninayoifanyia Mtandaoni kwa bando langu, simu au computer yangu si tatizo. Lengo si kujenge Nchi yetu. Mashaka yangu ni kwenye hii tabia ya kutuzimia Mtandao(internet). Hivi ikitokea wakati watu tushalipa Kodi, hizo hasara tunazopataga TRA Mtaweza kutulipa?

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Kwa sasa nawaelewa hawa raia wa Afrika kusini wanaoendesha hii "Operesheni Dudula" inayolenga kufukuza waafrika wengine warudi makwao, nakiri wapo sahihi. Wao walipambania Uhuru wao ili wale matunda ya nchi yao, leo unapakimbia kwenu unaenda kupora fursa zao! Rudi CCM ikunyooshe

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Siku kama ya leo (28/07/2008) tulimpoteza Chacha Wangwe ghafla. Ilikuwa siku nzito na iliyoleta mabadiliko (-&+) kwa familia, ndani ya taasisi(CHADEMA) na Taifa alilolitumikia kwa ujumla. Hilo halijawahi kututia hofu, tumesamehe, HATUJASAHAU na tunamshukuru Mola kwa Maisha yake.

Siku kama ya leo (28/07/2008) tulimpoteza Chacha Wangwe ghafla. Ilikuwa siku nzito na iliyoleta mabadiliko (-&+) kwa familia, ndani ya taasisi(CHADEMA) na Taifa alilolitumikia kwa ujumla.

Hilo halijawahi kututia hofu, tumesamehe, HATUJASAHAU na tunamshukuru Mola kwa Maisha yake.
Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Ndg, "Lumola Steven" ni mmoja Kati ya vijana bora katika uchambuzi na ujenzi wa hoja ndani ya CHADEMA na ni miongoni mwa watu wachache sana niaopenda kuwasikiliza na kusoma maandiko yao. Lakini naweza kusema leo kijana ametembea nje ya hoja ya msingi kwa Makusudi. Si dalili njema

"Kila mtu anakimbizana na kutafuta rizki kwaajili ya familia yake. Sihitaji misafara wala ving'ora vya kuwafanya watu wasimame kunipisha. Hua najitahidi kuamka mapema kuwahi kwenye majukumu yangu. Hii hunifanya nifuate Sheria za barabarani sawa na raia wengine." Gen. Ivan Koreta

Kuweni wakweli, hivi mnapata wapi nguvu za kuwajadili wao na michakato yao haramu? Nafikiri ifike mahali muungane nao tu. Vinginevyo nendeni likizo na siku mkiamua kuwa serious, tuiteni tudai haki, usawa na ustawi wa taifa hili. "Flight✈️ mode ON"

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Ni kwanini kila mwanaCCM anapoanza kuikosoa Serikali vikali, ni lazima aanze kuishi kininja au aende mafichoni! Wanajua nini huko ndani tusichokifahamu.?🤔

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Kama tunaweza kufurahia watoto n Nchini Palestina (Gaza) wakiuawa kwa Mabomu, risasi za wadunguaji, njaa nk. Tanashindwa nini kuyapigia makofi maovu ya watawala wetu wa Kiafrika?

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Marekani na Mataifa ya Ulaya yameshirikiana kuwanyang'anya Ardhi Wapalestina na kuunda taifa la Kizayuni wanaloliita Izraeli. Haikutosha wamelitumia taifa hilo kuiondoa Haki na Amani kwa kumwaga damu kwa zaid ya miaka 70. Kisha wanakuja mbele ya kamera kudai wao ni watu wa Haki🚮

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Yule Dada yetu sijui "Rachel nini" anayetoa mishuti huko tiktok, kutokana na aina ya lugha ya uwasilishaji wa hoja zake, Tafadhali mshaurini kuwa Taifa alilopo haliwezi kumhakikishia usalama wake. Ni sawa yupo hapo K-koo. Kuchukua tahadhari si woga.📌

Dedan Wangwe🇹🇿 (@dedanwangwe) 's Twitter Profile Photo

Sawa Amefariki; Je, hilo limeleta ahueni gani kwetu sisi raia? Hili limetuondolea matatizo kama ya utekwaji wa raia wasiokuwa na hata chembe ya tishio kwa usalama wa taifa letu? Je, kifo chake kimeziweka mahaka na chaguzi zetu huru? Tafadhali nijuzeni mnafurahia lipi hapa?🤔