SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile
SENIOR Eng. 🐐

@decoull27

I am Eng. Decoull Servant Of The Gentle | Web & App Developer | Author | YouTuber | Crypto Enthusiast | Community & Content Moderator | Founder of Make Dollary

ID: 1178683637610496000

linkhttps://beacons.ai/decoull calendar_today30-09-2019 14:51:07

11,11K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Leo imetimia miaka 5 toka tuanzishe jukwaa la TOTTechs hapa X/Twitter, TOTTechs kirefu ni Tanzanian on Twitter Technologies, lengo letu ni kutoa ushauri na msaada wa ki-teknolojia, kutatua changamoto na kusaidia watu kufikia malengo, Limekuwa jukwaa muhimu. Lini tuwe na sherehe?

Leo imetimia miaka 5 toka tuanzishe jukwaa la TOTTechs hapa X/Twitter, TOTTechs kirefu ni Tanzanian on Twitter Technologies, lengo letu ni kutoa ushauri na msaada wa ki-teknolojia, kutatua changamoto na kusaidia watu kufikia malengo, Limekuwa jukwaa muhimu.

Lini tuwe na sherehe?
SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

Got me out here in the water so deep, Tell me how you're gon' be without me, If you ain't here, I just can't breathe, There's no air, no air 🎢🎢 Jordin Spark ft Chris Brown - No Air.

SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

YOUTUBER Ni comment gani iliwahi kukukata kutoka kwa audience yako ya YouTube? Nini ulifanya? Reply sceenshot tuone! Mimi niliambiwa hivi nikabaki kucheka tu ila nilimjibu.

YOUTUBER

Ni comment gani iliwahi kukukata kutoka kwa audience yako ya YouTube?

Nini ulifanya? Reply sceenshot tuone!

Mimi niliambiwa hivi nikabaki kucheka tu ila nilimjibu.
SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

YOUTUBE SEARCH TERM Unafahamu nini kuhusu YT Search Term? Umeshawahi kusikia kuhusu SEO? Huwa unafanya nini unapopitia YouTube Analytics kwenye channel yako? Huwa unapitia analytics za kila video? Toa experience yako kwenye reply.

YOUTUBE SEARCH TERM

Unafahamu nini kuhusu YT Search Term?

Umeshawahi kusikia kuhusu SEO?

Huwa unafanya nini unapopitia YouTube Analytics kwenye channel yako?

Huwa unapitia analytics za kila video?

Toa experience yako kwenye reply.
SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

Hii ilipaswa kuwa hivi "ACHA KABISA MATUMIZI YA ENERGY DRINKS, USIPOWEZA PUNGUZA" For sure hivi vinywaji si vya kuvizoea inapaswa kutumia kwa dharura pale inapobidi.

SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

#YouTuber Ukitaka kutoboa huko YouTube, ukweli ni kwamba loyal Audience ni female. Hawa wakiangalia video zako ni mpaka bando liishe ndio wanatoka kwa channel yako πŸ˜‚ Ewe beginners jitafutie Niche yako na iwe based US, CA au UK

SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

New Channel. 9 Days! Hivi nitatoboa kweli? Wapi nakosea jamani? Siri ni nini ili niweze kuapata views wengi? Hivi nawe huwa unajiuliza kama mimi? Ebu tuone na wewe, form one mwenzangu!!

New Channel. 9 Days!

Hivi nitatoboa kweli? Wapi nakosea jamani? Siri ni nini ili niweze kuapata views wengi?

Hivi nawe huwa unajiuliza kama mimi? 

Ebu tuone na wewe, form one mwenzangu!!
SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

#YouTubers Hakuna kitu kigumu kama kuwafanyia adoption audience ya YouTube from one Niche to another. US audience wako loyal sana kiasi unaweza jikuta wana Unsubscribe karibu Β½ ya Subs wako. Nini cha kufanya kabla hujachukua maamuzi ya kubadili contents? Reply tujue!

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mkifika mjini β€œmama, mama, mama” nyingi. Siyo mama yenu. Ni ukweli kwamba mama zenu vijijini hawana maji, hawana umeme, hawana sukari. Wanalala gizani kama mende, wanakunywa maji mara moja kwa wiki kama ngamia, wanakunywa uji hauna sukari, wanatumia picha ya asali kuvuta hisia.

SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

#WRC Tunakiwasha! Ni Kuanzia 20 - 23 Machi 2025, Naivasha itawaka moto na mbio kali za WRC Safari Rally! Sio tu rally, njoo uburudike πŸ‡°πŸ‡ͺ Kenya. Ruka na @MagicalKenya kupitia linki: bit.ly/41LqGJV kujifunza zaidi! #MagicalKenya # #TwendeKwaJirani #SafariRallyKenya2025

SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

#WRC Tunakiwasha! Ni Kuanzia 20 - 23 Machi 2025, Naivasha itawaka moto na mbio kali za WRC Safari Rally! Sio tu rally, njoo uburudike πŸ‡°πŸ‡ͺ Kenya. Ruka na @MagicalKenya kupitia linki: bit.ly/41LqGJV kujifunza zaidi! #MagicalKenya # #TwendeKwaJirani #SafariRallyKenya2025

SENIOR Eng. 🐐 (@decoull27) 's Twitter Profile Photo

#YouTuber Huwa inatokea video inakuletea Subs kwa wingi kuliko Revenue Hii huwakuta YouTubers wengi. Na huwa kuna video yenyewe, ndio main core ya channel inaweza kuwa ulipost 5 years ago lakini ndio inaleta Subs wengi kila siku. Comment screenshot video yako kinara tuone!

#YouTuber

Huwa inatokea video inakuletea Subs kwa wingi kuliko Revenue

Hii huwakuta YouTubers wengi.

Na huwa kuna video yenyewe, ndio main core ya channel inaweza kuwa ulipost 5 years ago lakini ndio inaleta Subs wengi kila siku.

Comment screenshot video yako kinara tuone!