Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB)

@wrrbtz

WRRB ni bodi ya udhibiti na usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghalani ambao hutoa ufikiaji wa masoko rasmi ya mikopo na bidhaa.

ID: 936127170908446720

linkhttp://www.wrrb.go.tz/ calendar_today30-11-2017 06:58:04

66 Tweet

151 Followers

42 Following

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

PONGEZI KUTOKA KWA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB) Pongezi kwa Prof. Godius Kahyarara kwa kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. WRRB Tunaahidi Ushirikiano #kazi_iendelee #WRRB_2022

PONGEZI KUTOKA KWA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB)

Pongezi kwa Prof. Godius Kahyarara kwa kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. 

WRRB Tunaahidi Ushirikiano
#kazi_iendelee 
#WRRB_2022
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

PONGEZI KUTOKA KWA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB) Pongezi kwa Dkt. Hashil Twalib Abdallah kwa kuapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. WRRB Tunaahidi Ushirikiano #kazi_iendelee #WRRB_2022

PONGEZI KUTOKA KWA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB)

Pongezi kwa Dkt. Hashil Twalib Abdallah kwa kuapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. 

WRRB Tunaahidi Ushirikiano
#kazi_iendelee 
#WRRB_2022
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

PONGEZI KUTOKA KWA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB) Pongezi kwa Bw. Ally S. Gugu kwa kuapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. WRRB Tunaahidi Ushirikiano #kazi_iendelee #WRRB_2022

PONGEZI KUTOKA KWA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB)
Pongezi kwa Bw. Ally S. Gugu kwa kuapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. 

WRRB Tunaahidi Ushirikiano
#kazi_iendelee 
#WRRB_2022
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB) Tunawatakia Heri ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa Wazanzibar na Watanzania Wote. #kazi_iendelee #WRRB_2022

BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA (WRRB)
Tunawatakia Heri ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa Wazanzibar na Watanzania Wote. 

#kazi_iendelee
#WRRB_2022
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Bodi, wajumbe, na Menejimenti (sekretariati) ya Bodi ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mr. Assangye Bangu. Wameshiriki kikao cha Bodi ya wakurugenzi kilichofanyika kwa siku tatu kwenye ukumbi wa Bodi na Ajenda mbalimbali zimejadiliwa na kutolewa mapendekezo.

Leo tarehe 18.3.22, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Asangye Bangu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Joseph Mkirikiti pamoja na timu ya Sekretariat ya Mkoa kujadili kuhusu kuutumia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika mazao ya Mahindi, Alizeti na ufuta.

KUMBUKIZI YA MIAKA 50 YA KUMUENZI HAYATI ABEID AMANI KARUME Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Tunawatakia watanzania wote siku njema ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya kumuenzi Hayati Amani Abeid Karume. #Stakabadhi_Ghalani #kazi_iendelee🇹🇿 #WRRB_2022

KUMBUKIZI YA MIAKA 50 YA KUMUENZI HAYATI ABEID AMANI KARUME

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Tunawatakia watanzania wote siku njema ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya kumuenzi Hayati Amani Abeid Karume. 

#Stakabadhi_Ghalani 
#kazi_iendelee🇹🇿 
#WRRB_2022
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

HERI YA MIAKA 58 YA MUUNGANO. Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Inawatakia Watanzania wote Heri ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. #Stakabadhi_Ghalani #WRRB_2022 #kazi_iendelee🇹🇿 #Happy_Union_Day

HERI YA MIAKA 58 YA MUUNGANO.

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Inawatakia Watanzania wote Heri ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. 

#Stakabadhi_Ghalani 
#WRRB_2022 
#kazi_iendelee🇹🇿 
#Happy_Union_Day
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Inawatakia Heri ya siku ya Wafanyakazi Duniani. #Stakabadhi_Ghalani #WRRB_2022 #kazi_iendelee🇹🇿

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Inawatakia Heri ya siku ya Wafanyakazi Duniani.

#Stakabadhi_Ghalani 
#WRRB_2022 
#kazi_iendelee🇹🇿
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Inawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla, Heri na Baraka ya Sikukuu za EID MUBARAK #Stakabadhi_Ghalani #WRRB_2022 #kazi_iendelee🇹🇿

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Inawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla, Heri na Baraka ya Sikukuu za EID MUBARAK

#Stakabadhi_Ghalani 
#WRRB_2022 
#kazi_iendelee🇹🇿
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

MAJADILIANO BAINA YA KAIMU MKURUGENZI WA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA NA WADAU Majadiliano na wadau waliotembelea Banda la Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za ghala, leo tarehe 29.6.2021 katika maadhimisho ya wiki ya ushirika yanayoendelea mkoani Tabora.

MAJADILIANO BAINA YA KAIMU MKURUGENZI WA BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA NA WADAU

Majadiliano na wadau waliotembelea Banda la Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za ghala, leo tarehe 29.6.2021 katika maadhimisho ya wiki ya ushirika yanayoendelea mkoani Tabora.
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

KONGAMANO LA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA LAFANYIKA KWA MAFANIKIO Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe Exaud Kigahe leo 30 Juni, 2022 amefungua Kongamano la Mfumo wa Stakabadhi za Ghala, lililofanyika Mjini Tabora kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani.

KONGAMANO LA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA LAFANYIKA KWA MAFANIKIO

Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe Exaud Kigahe leo 30 Juni, 2022 amefungua Kongamano la Mfumo wa Stakabadhi za Ghala, lililofanyika Mjini Tabora kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani.
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

KARIBU KWENYE MAONYESHO 46 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA SABASABA 2022 Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala WRRB Inawakaribisha watanzania wote kwenye maonyesho 46 ya kimataifa ya Biashara ya Tupo kwenye jengo la wizara ya uwekezaji viwanda na Biashara Karibuni sana.

KARIBU KWENYE MAONYESHO 46 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA SABASABA 2022

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala WRRB Inawakaribisha watanzania wote kwenye maonyesho 46 ya kimataifa ya Biashara ya

Tupo kwenye jengo la wizara ya uwekezaji viwanda na Biashara Karibuni sana.
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

MENEJIMENTI YA BODI WAKUTANA NA WADAU WA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa stakabadhi za ghala, Mr. Asangye Bangu amefungua kikao cha wadau wa mfumo wa Stakabadhi za Ghala kilichofanyika kwenye ofisi za Bodi Temeke Dar es salaam.

MENEJIMENTI YA BODI WAKUTANA NA WADAU WA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa stakabadhi za ghala, Mr. Asangye Bangu amefungua kikao cha wadau wa mfumo wa Stakabadhi za Ghala kilichofanyika kwenye ofisi za Bodi Temeke Dar es salaam.
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

NIPO TAYARI KUHESABIWA 23 Agosti 2022. Sensa Kwa Maendeleo ya Taifa #sensa_2022 #nipotayarikuhesabiwa2022 #WRRB_2022 #Stakabadhi_Ghalani #kazi_iendelee🇹🇿

NIPO TAYARI KUHESABIWA 23 Agosti 2022.

Sensa Kwa Maendeleo ya Taifa

#sensa_2022 
#nipotayarikuhesabiwa2022 
#WRRB_2022 
#Stakabadhi_Ghalani 
#kazi_iendelee🇹🇿
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) (@wrrbtz) 's Twitter Profile Photo

MAFUNZO ELEKEZI YA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA KWA KAMPUNI ZA KAHAWA MKOANI MBEYA. Kaimu Meneja Uratibu Huduma Bw. Erick Elly Temu, akitoa mafunzo elekezi kwa kampuni za kahawa juu ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Mkoani Mbeya. #Stakabadhi_Ghalani #kazi_iendelee🇹🇿

MAFUNZO ELEKEZI YA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA KWA KAMPUNI ZA KAHAWA MKOANI MBEYA.

Kaimu Meneja Uratibu Huduma Bw. Erick Elly Temu, akitoa mafunzo elekezi kwa kampuni za kahawa juu ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) Mkoani Mbeya. 

#Stakabadhi_Ghalani
#kazi_iendelee🇹🇿