Taifa la Tanzania naona saizi kama ni zamu yetu watu kufariki ki ukweli vifo vimekuwa vingi sana Kwa Sasa Jamani Hadi naogopa Mazee R.I.P Kwa waliotangulia 🇹🇿🇹🇿🖤🖤
Guyz nimepotelewa na bahasha ikiwa ndani na kadi ya pikipiki mkataba wa manunuzi na ufunguo wa hio pikipiki bahasha ilikiwa inatoka Dar to Musoma kampuni iliokuwa inasafirisha ni allystar bus mwenye kuiona nicheki Kwa no 0625987880 🙏