TSEDDY (@tseddy10) 's Twitter Profile
TSEDDY

@tseddy10

Just a normal Guy

ID: 1421790325341835267

calendar_today01-08-2021 11:10:23

14,14K Tweet

3,3K Followers

2,2K Following

TSEDDY (@tseddy10) 's Twitter Profile Photo

Moja ya baraka ambazo huchukuliwa poa ni kurudi nyumbani salama. Ulienda nje, ukakabiliana na dunia, na Mungu akakurudisha. Usichukue hilo poa kamwe.

M E C K I E🇹🇿 (@mee_nicodemus) 's Twitter Profile Photo

Jezi za ulaya zinavuja karibia nusu ya msimu unaopita, na bado zinatambulishwa zile zile ila wanetu msimbazi wamekula kona……….😂