
TRFA
@trfa2023
ID: 1641855381432303623
31-03-2023 17:30:13
25 Tweet
6 Followers
129 Following






Watu wa Mbeya siyo wajinga. Mbeya ndiyo mkoa pekee Tanzania wananchi wake wamefungua kesi mahakamani kupinga uuzwaji wa bandari kwa waarabu. Dr. Tulia Ackson ni vizuri ukasema kwa niaba ya MaCCM wenzako. Kama unataka maoni ya watu wa Mbeya, kura zipigwe uwanjani, upate aibu.
