Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile
Togolani Mavura

@tonytogolani

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!


To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own Destiny

ID: 458274726

calendar_today08-01-2012 11:18:55

82,82K Tweet

260,260K Followers

2,2K Following

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Hata kama ulikuwa ukimjua sana huko nyuma, akishakuwa kiongozi au akipata pesa, ukitaka uendelee kuwa na mahusiano mazuri naye, usitake kujionyesha kwa watu kuwa unamjua sana au kukumbushia kumbushia hali yake ya nyuma. Utamkwaza. Hata waswahili walisema, 'kujuana isiwe tabu'.