Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile
Tanzania Leaks

@tanzanialeaks

Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].

ID: 1425093307378638848

calendar_today10-08-2021 13:55:43

2,2K Tweet

85,85K Followers

125 Following

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Kijana aliyechoma picha ya Rais Samia na kuhukumiwa jela miaka 5 au faini 5million, kabla ya wanaharakati kumlipia faini hiyo, ametekwa nyumbani kwao Kyela na watu wanaosadikika kuwa Usalama wa Taifa. Tutaendelea kuwajuza. #TanzaniaLeaks.

ALERT: Watanzania, Wamasai wanateseka sababu ya huyu mama na Waarabu wake. Samia anatuletea ukoloni mambo leo, hatari kwa Taifa. Haya ni magari ya waarabu, namba za UAE, ndani ya Tanganyika. Hadi minara inasoma UAE 🇦🇪. Vyombo vya Ulinzi na Usalama, mko wapi?

Muachieni Deusdedith Soka na wenzake haraka. Taswira ya nchi inachafuka kwa mambo ya kijinga. Polis na usalama mnaye Deusdedith na baada ya kumkamata mlimpeka nje ya mko wa Dar. Hili la Deus linaenda kumchafua Rais sana. #TanzaniaLeaks

Kipindi cha Shujaa JPM, watu walipiga sana kelele kuhusiana na Chato. Ila chato ilikuwa vitu kama Hospital, airport nk. Imekuja Kizimkazi ni mpira na starehe. Kilichofanyika Kizimkazi kutumia mabillioni ya walipa kodi, watasimulia wengine. Niseme tu kwamba Kizimkazi ni DISASTER.

ALERT: Kuna maandalizi yanayoendelea Ngorongoro kuashiria ujio wa Kiongozi mkubwa. Watu kadhaa wanaohisiwa kuwa watu wa Usalama, wameonekana wakizunguka maeneo tofauti Ngorongoro. Wana Ngorongoro, asije mtu kuwarubuni. Yeye ndio chanzo cha haya matatizo yote na waarabu wake.

Tunaona mmekutana, na huyo Awadh naye yupo. Hakuna cha maana, kama hamtaweka maslahi ya nchi mbele, mkiendelea na Uonevu, utekaji, Intelijensia za Kijinga dhidi ya wapinzani. Anzeni kuhesabu siku, maana mtaani huku siyo salama, hasa na nyie polisi. #TanzaniaLeaks

Mwafrika ni mwafrika tu. Kizimkazi imekuwa sehemu ya bata na ukahaba. Hakuna cha maana, zaidi ya watu kuuza sura, kusambazana maradhi na kufuja fedha za umma. Tunaambiwa mabillioni ya Umma yameliwa huko Kizimkazi.

Jamani, hebu turudi Maktaba kidogo, huyu mgosi alipotumbuliwa na Shujaa JPM, alitoa hiyo picha na kumcheka Shujaa wetu. Kwa bibi Chura, naona wanajaribu kumuonyesha shuguli. Subirini. Alafu mwenye vile vibonzo vyake, atutumie tagadhali.

Kuna wsatu akili zimeoza. Nani anaminya haki za Watanzania zaidi ya wakina nyie #Wahuni ndani ya chama? Hivi wewe unaakili kweli? Au unawaza bado uko zile zama za kutishia watu na kusingizia watu wasiojulikana?

Air Tanzania, hii ni fedha za walipa kodi. Tunaomba kujua ndege yetu inarudi lini kwa sababu tunaona hela zipo nyingi za kula starehe Kizimkazi. Ni matumaini yetu kwamba ndege nayo imeshatengemaa.

ALERT: Kama tulivyosema jana, Rais Samia amefika Arusha, na inawezekana akaenda Ngorongoro kujifanya kusuluhisha tatizo alilolianzisha na waarabu wake. Zaidi, kuna wazee wamechukuliwa vijiji vya Ngorongoro. Hawa wazee wamechukuliwa kisirisiri kwenda kutakatisha maovu ya Samia.

ALERT: Polisi wanaye Deusdedith Soka. Ameteswa sana kwa sababu wanasema anajidai mjanja. Polis wana mpango mbaya na wa kutisha dhidi ya kijana huyu. Njia pekee ya kuokoa maisha yake ni mtoke kufanya maandamano makubwa kushishinikiza wamuachie HURU. Mkichelewa, mtampoteza.

Bashite Bwana, kwa nini umlaumu dereva? Yeye anafanya yale anayoyaona ukifanya mchana. Huyo anakuwa shift ya Pili naye apate chochote kitu. Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Wewe uendeshe ma Vogue yeye apande Daladala? Hapo ni ngoma droo mwanangu.

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Tulia $2.5million Betina Ackson ni adui namba moja wa Tanzania. Huyu mwanamke alikula rushwa ya $2.5million za DP-WORLD na ndio maana alizuia mjadala wa hiyo kampuni. Leo watu wanatekwa, wanauwawa, anazuia watekaji wasijadiliwe Bungeni. Huyu kibibi ni shetani mkubwa. Mkataeni.

BASHITE, maeneo mengine, funga BREKI. Ndio sote watoto wa Shujaa, ila hapa unakichafua chama. Unkivua chama nguo. Unaitangazia dunia kwamba CCM imeoza, bila rushwa mambo hayaendi.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🆘URGENT EMERGENCY ALERT ‼️🚨 Dear World We fear for the safety of DEUSDEDITH SOKA and Jacob Mlay & Frank Mbise who were abducted by armed security forces in Dar es Salaam! We have received information that after the Court dismissed the Habeas Corpus case the security task

‼️🆘URGENT EMERGENCY ALERT ‼️🚨
Dear World
We fear for the safety of <a href="/DEUSDEDITHSOKA/">DEUSDEDITH SOKA</a> and Jacob Mlay &amp; Frank Mbise who were abducted by armed security forces in Dar es Salaam! We have received information that after the Court dismissed the Habeas Corpus case the security task
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Taarifa tulizopata ni kwamba Waziri Mchengerwa amefanya sherehe yake ya kuzaliwa ambapo kila mualikwa alikuwa anapewa zawadi ya MOET na BELAIRE Champagnes kuondoka nazo. Inakadiriwa sherehe hiyo iligharimu zaidi ya Tsh 200m. Hizi fedha zinatoka wapi Watanzania na hii hali ngumu?

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

ALERT: Endeleeni kuwapigania kina Deusdedith Soka na wenzake. Wapo chini ya polisi. Waliwapeleka nje ya Dar. Kama hawatawaachia wiki hii, hamasisheni maandamano ya nchi nzima hadi waachiwe. Tito Magoti alianzisha harakati za #ZuiaUtekaji maandamano, walijaa upepo hadi kuzima X.

ALERT: Endeleeni kuwapigania kina Deusdedith Soka na wenzake. Wapo chini ya polisi. Waliwapeleka nje ya Dar. Kama hawatawaachia wiki hii, hamasisheni maandamano ya nchi nzima hadi waachiwe. <a href="/TitoMagoti/">Tito Magoti</a> alianzisha harakati za #ZuiaUtekaji maandamano, walijaa upepo hadi kuzima <a href="/X/">X</a>.
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Haya mambo mnakiharibia chama na kumchafua Rais. Mnaongeza chuki dhidi ya chama kwa mambo haya ya hovyo. Mnachafua kabisa 4R za Rais. Mombo na Awadh mmemuweka kando Wambura na mnamharibia Mama vibaya. Waachieni hawa watoto haraka. #TanzaniaLeaks