shayo_jr (@shayojr3) 's Twitter Profile
shayo_jr

@shayojr3

ManchesterUnited & SimbaSport_ClubFan🔴,
Hakuna Matata✌,
Say less...🤞

ID: 1365203538943627266

calendar_today26-02-2021 07:34:43

13,13K Tweet

943 Followers

750 Following

ZITATU (@max_zitatu) 's Twitter Profile Photo

Kipindi ichi ambacho bado unajitafuta, yani hauna hela. Ukishindwa kupata mwanamke kipindi ichi. Basi asilimia kubwa mwanamke utakayempata kipindi umeshakua na hela, basi atakua ni malaya..

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Ukweli mchungu kuhusu maisha Watu wengi hawakujali wewe binafsi. Wanajali jinsi unavyowafanya wajisikie. Baadhi Wapo wanaokuweka karibu sio kwa sababu wanakupenda, bali kwa sababu wanafaidika na wewe

SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Sugu - Hayakuwa mapenzi Kwa maoni yangu uncle Jongwe hajawai kuandika ngoma yenye hisia kali kama hii, miongoni mwa ngoma bora zaidi za hip hop Bongo.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Code za kuwa best version of yourself 1. Level up your circle, wanaokuzunguka ndio uhalisia wako 2. Epuka drama, 3. Acha kujieleza sana, 4. Timiza ulichopanga kufanya, 5. Jikubali, jiweke mbele & Jipendelee.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kama tu kujisimamia wewe mwenyewe ni tatizo, yaani huwezi kabisa kufanya ulichopanga mwenyewe Sasa -Utawezaje kusimamia biashara -Utawezaje kusimamia pesa zako -Utawezaje kusimamia muda wako -Utawezaje kusimamia familia yako. Fix yourself bro.

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Tuwe na mazoea ya kujitunza na kujipenda baada ya kufanya kazi na kupata chochote kitu. Chukua likizo. Nunua simu kali. Vaa vizuri. Umepambana, umestahili. Tumia pesa zako kwa ajili yako bila kuhisi kama unakosea.. Kataa unyonge, unyonge dhambi

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Unajitafuta!! Usisahau haya chief 1. Jilipe kwanza, walau 10% kwenye kila pato lako 2. Ishi chini ya kipato chako chief 3. Usijifananishe na mtu matumizi kama hamfanani mapato 4. Tumia mapato hayo kuanzisha chanzo kingine cha mapato 5. Weka kipaumbele emergency funds, ndo

Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

Ukianza kupata pesa nyingi; -Ajiri mfanyakazi wa ndani -Nunua kitanda kizuri -Nunua laptop yenye kasi -Nunua Wifi yenye kasi ya 5G -Nunua meza na kiti kizuri cha kufanyia kazi -Jiunge gym nzuri -Kula chakula bora Ukifanya hivi, kiwango chako cha pesa kitaongezeka mara 10 zaidi

○𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟𝗧○𝗠𝗠𝗣𝗔𝗡𝗧𝗛𝗘𝗥 ☪ (@1tommpanther) 's Twitter Profile Photo

"Mke anajua mume lazima awe na hela, mtoto anajua baba lazima awe na hela, baba anajua hana hela, siku za furaha kwa mwanaume ni chache nazo zimejaa taabu" _OFFICIALTOMMPANTHER

MWANAHISABATI (@arthurgeil) 's Twitter Profile Photo

4. Akili yako ndio kila kitu chako, Unachofikiria ndicho unakuwa. Kaa mbali na watu wanaokukatisha tamaa na jiweke karibu na watu wanaokupa motisha.

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Kuwa mnyenyekevu na usiwahi kufikiria kuwa wewe ni bora kuliko mtu mwingine. Mwisho wa siku, sote tunaondoka duniani bila kitu chochote