Seccobrand (@seccobrand) 's Twitter Profile
Seccobrand

@seccobrand

ID: 1666096407659577345

calendar_today06-06-2023 14:55:24

18 Tweet

17 Followers

158 Following

Maalim Nash (@nashemcee) 's Twitter Profile Photo

Siku ya jana nilipata mualiko kutoka Chuo kikuu cha Humboldt kupitia Baraza la Kiswahili la Berlin ( BALAKI-BE) na kupewa nafasi ya Kuwasilisha mada, Wasilisho langu lilihusu, (Nafasi Ya Hip Hop katika kukuza Maadili mema ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ). Kwa taarifa zaidi tembea IG yangu.

Siku ya jana nilipata mualiko kutoka Chuo kikuu cha Humboldt kupitia Baraza la Kiswahili la Berlin ( BALAKI-BE) na kupewa nafasi ya Kuwasilisha mada, Wasilisho langu lilihusu, (Nafasi Ya Hip Hop katika kukuza Maadili mema ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ).
Kwa taarifa zaidi tembea IG yangu.
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ (@makaveli_255) 's Twitter Profile Photo

Life lessons from mzee Faraji 1. Usilale na gari lisilo na mafuta 2. Usilale na simu isiyo na salio 3. Usiadhibu mtoto ukiwa umelewa 4. Social capital ni msingi wa maisha ya kiafrika 5. Oa mchaga๐Ÿ‘Œ๐Ÿป

SzU 911 (@nikkizohan) 's Twitter Profile Photo

Kama bado hujapata nakala ya #KATIBA_MPYA album Bei ni TSH 25000/= unaipata Kwa Email/Whatsapp/Telegram Check na +255654600065/+255747828275 NICAS J.M.MACHUCHE

Kama bado hujapata nakala ya #KATIBA_MPYA album Bei ni TSH 25000/= unaipata Kwa Email/Whatsapp/Telegram
Check na +255654600065/+255747828275
NICAS J.M.MACHUCHE
Seccobrand (@seccobrand) 's Twitter Profile Photo

#SBEntertainment : ๐Ÿ‘‡ Uthabiti na usahihi wa kumbukumbu zangu wanijuza ya kuwa ilikuwa ni kati ya miaka ya 2008 - 2011 hivi wakongwe hawa walipoteka soko la filamu za mapigano nchini.

#SBEntertainment : ๐Ÿ‘‡

Uthabiti na usahihi wa kumbukumbu zangu wanijuza ya kuwa ilikuwa ni kati ya miaka ya 2008 - 2011 hivi wakongwe hawa walipoteka soko la filamu za mapigano nchini.