seagask (@seagask) 's Twitter Profile
seagask

@seagask

The Official twitter page for SEA Gas Kenya.

#BoreshaUpishi

ID: 1168419317878272000

linkhttp://seagas.co.ke calendar_today02-09-2019 07:04:18

365 Tweet

148 Followers

14 Following

seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Je wajua ? Maharagwe ya nazi ni chakula cha asili cha pwani chenye nguvu nyingi, hasa asubuhi. Pika kwa uhakika na usalama na mtoto safi wa Seagas!

Je wajua ? 
Maharagwe ya nazi ni chakula cha asili cha pwani chenye nguvu nyingi, hasa asubuhi. 
Pika kwa uhakika na usalama na mtoto safi wa Seagas!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Pika haraka, kwa usalama na kwa uhakika ukitumia Seagas. Seagas inakupa moto safi, matumizi bora na amani ya akili kwa kila mlo wa familia yako. Boresha upishi, boresha maisha na Seagas. Piga simu kwa 0800 723 666 kuorder Seagas leo.

Pika haraka, kwa usalama na kwa uhakika ukitumia Seagas.
Seagas inakupa moto safi, matumizi bora na amani ya akili kwa kila mlo wa familia yako. Boresha upishi, boresha maisha na Seagas.
Piga simu kwa 0800 723 666 kuorder Seagas leo.
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Amani, baraka na utulivu ziwe nawe leo na daima. Tunakutakia siku iliyojaa utulivu wa moyo, baraka zisizo na kipimo, na matumaini mapya. Uwe na Ijumaa yenye neema, faraja na mwanzo mzuri wa wikiendi. Jumaa Mubarak kutoka Seagas.

Amani, baraka na utulivu ziwe nawe leo na daima.
Tunakutakia siku iliyojaa utulivu wa moyo, baraka zisizo na kipimo, na matumaini mapya.
Uwe na Ijumaa yenye neema, faraja na mwanzo mzuri wa wikiendi.
Jumaa Mubarak kutoka Seagas.
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Je wajua? Karafuu hutoka sana Zanzibar na hutumika kuongeza harufu kwenye chai na pilau? Furahia ladha halisi nyumbani. Pika vyakula vyenye ladha zaidi kwa moto wa uhakika wa Seagas. Boresha Upishi na Seagas!

Je wajua? Karafuu hutoka sana Zanzibar na hutumika kuongeza harufu kwenye chai na pilau?  Furahia ladha halisi nyumbani. Pika vyakula vyenye ladha zaidi kwa moto wa uhakika wa Seagas.
Boresha Upishi na Seagas!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Seagas ni chaguo la familia! Ni gesi salama, imara na ya kuaminika kwa mapishi ya kila siku nyumbani. Pika kwa uhakika. Pika kwa amani ya moyo. Pika na Seagas. Piga simu kwa nambari yetu ya bure 0800 723 666 kuagiza au kuuliza swali.

Seagas ni chaguo la familia!
Ni gesi salama, imara na ya kuaminika kwa mapishi ya kila siku nyumbani.
Pika kwa uhakika. Pika kwa amani ya moyo. Pika na Seagas.
Piga simu kwa nambari yetu ya bure 0800 723 666 kuagiza au kuuliza swali.
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Ijumaa ni siku ya kutafakari na kupata utulivu wa moyo. Roho yako ijae amani na furaha leo na siku zote. Tunakutakia amani na baraka tele katika siku hii tukufu. Jumaa Mubarak kutoka Seagas!

Ijumaa ni siku ya kutafakari na kupata utulivu wa moyo. Roho yako ijae amani na furaha leo na siku zote.
Tunakutakia amani na baraka tele katika siku hii tukufu.
Jumaa Mubarak kutoka Seagas!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Good news 🎉 Bei za GoBeba SEAGAS sasa zimepungua: thamani zaidi, ubora ule ule unaoaminika. Jaza 6kg SEAGAS kwa KES 1,000 na 13kg SEAGAS KES 2,200. Usisubiri. Scan QR code uagize yako leo!

Good news 🎉
 Bei za GoBeba SEAGAS sasa zimepungua: thamani zaidi, ubora ule ule unaoaminika.
Jaza  6kg SEAGAS kwa KES 1,000 na 13kg SEAGAS KES 2,200. 
Usisubiri. Scan QR code uagize yako leo!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Malengo ya Januari bado yako hai! Endelea kupika kwa ufanisi, usalama na uhakika ukiwa na Seagas. Haijalishi ni mwanzo au mwisho wa mwezi, Seagas iko nawe kila wakati. Tunakutakia wiki njema yenye mafanikio. Boresha Upishi na Seagas.

Malengo ya Januari bado yako hai!
Endelea kupika kwa ufanisi, usalama na uhakika ukiwa na Seagas.
Haijalishi ni mwanzo au mwisho wa mwezi,  Seagas iko nawe kila wakati.  Tunakutakia wiki njema yenye mafanikio. Boresha Upishi na Seagas.
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Je, wajua? Tangawizi husaidia kulainisha nyama wakati wa kuchemsha, na huongeza ladha zaidi ✨ Jaribu leo jikoni kwako na uone tofauti. Boresha upishi, boresha maisha na Seagas!

Je, wajua?
Tangawizi husaidia kulainisha nyama wakati wa kuchemsha, na huongeza ladha zaidi ✨
Jaribu leo jikoni kwako na uone tofauti. 
 Boresha upishi, boresha maisha na Seagas!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Kitendawili cha jikoni na Seagas: Mimi ni mdogo. Nina rangi ya kahawia na harufu yangu inafurahisha. Ninatumika katika chai na vyakula tamu kama pilau. Mimi ni nani? Tuambie jibu lako kwenye comment section!

Kitendawili cha jikoni na Seagas:
Mimi ni mdogo. Nina rangi ya kahawia na harufu yangu inafurahisha. Ninatumika katika chai na vyakula tamu kama pilau. Mimi ni nani? Tuambie jibu lako kwenye comment section!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Kila chakula kizuri huanza na Seagas! Gesi tunayoiamini nyumbani, kwa afya na usalama wa familia yako. With Seagas, you enjoy reliable LPG energy you can trust every day. Call us on our toll-free number 0800 723 666 to make an order today.

Kila chakula kizuri huanza na Seagas! 
Gesi tunayoiamini nyumbani, kwa afya na usalama wa familia yako. With Seagas, you enjoy reliable LPG energy you can trust every day.

Call us on our toll-free number 0800 723 666 to make an order today.
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Baraka za Ijumaa ziijaze nyumba yako na amani, afya, na upendo wa dhati. Siku ya leo iwe ya shukrani, familia ikae pamoja, na nyumbani pawe mahali pa utulivu na baraka tele. Jummah Mubarak kutoka Seagas!

Baraka za Ijumaa ziijaze nyumba yako na amani, afya, na upendo wa dhati.
Siku ya leo iwe ya shukrani, familia ikae pamoja, na nyumbani pawe mahali pa utulivu na baraka tele.
Jummah Mubarak kutoka Seagas!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Heri ya mwezi mpya kutoka SEAGAS! ✨ Anza mwezi wako kwa ari mpya na upishi bora unaoleta ladha, usalama na uhakika nyumbani. Tunakushukuru kwa kuendelea kuchagua SEAGAS; gesi salama na ya kuaminika kwa kila familia. Boresha upishi wako, boresha maisha yako mwezi huu!

Heri ya mwezi mpya kutoka SEAGAS! ✨
Anza mwezi wako kwa ari mpya na upishi bora unaoleta ladha, usalama na uhakika nyumbani. Tunakushukuru kwa kuendelea kuchagua SEAGAS; gesi salama na ya kuaminika kwa kila familia.
Boresha upishi wako, boresha maisha yako mwezi huu!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

SEAGAS ni gesi ya Kuaminika kwa Kila Mahitaji! Iwe ni matumizi ya nyumbani, biashara au viwandani, SEAGAS iko tayari kukuhudumia. Tuko na mitungi ya gesi ya 6kg, 13kg na 50kg yenye usalama, uimara na ufanisi wa hali ya juu. Chagua ukubwa unaokufaa na ufurahie gesi ya kuaminika

SEAGAS ni gesi ya Kuaminika kwa Kila Mahitaji!

Iwe ni matumizi ya nyumbani, biashara au viwandani, SEAGAS iko tayari kukuhudumia. Tuko na mitungi ya gesi ya 6kg, 13kg na 50kg yenye usalama, uimara na ufanisi wa hali ya juu.

Chagua ukubwa unaokufaa na ufurahie gesi ya kuaminika
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Kitendawili cha jikoni na jikoni na Seagas! Mimi huonekana kavu lakini huleta ladha tamu. Mimi ni nani? Tuambie jibu lako kwenye comment section!

Kitendawili cha jikoni na jikoni na Seagas!
Mimi huonekana kavu lakini huleta ladha tamu. Mimi ni nani?
Tuambie jibu lako kwenye comment section!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Ijumaa yako ijae furaha, amani moyoni na baraka zisizo na kipimo. Tuukumbuke wema, tushukuru kwa tuliyonayo na tuendelee kutakiana mema. Jummah Mubarak kutoka SEAGAS!

Ijumaa yako ijae furaha, amani moyoni na baraka zisizo na kipimo. Tuukumbuke wema, tushukuru kwa tuliyonayo na tuendelee kutakiana mema. 
Jummah Mubarak kutoka SEAGAS!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Valentine’s hii, chagua zawadi yenye thamani ya kila siku ! SEAGAS si tu gesi; ni joto, usalama na chakula cha familia yako kila siku. Piga simu kwa 0800 723 666 kupata yako au kuzawadi mpenzi wako!

Valentine’s hii, chagua zawadi yenye thamani ya kila siku !
SEAGAS si tu gesi;  ni joto, usalama na chakula cha familia yako kila siku.
Piga simu kwa 0800 723 666 kupata yako au kuzawadi mpenzi wako!
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Happy Valentine’s Day from all of us at Proto Energy. 🌹 Today, we celebrate love, connection and the moments that bring us closer together. Come on… say it back! ❤️ #ValentinesDay #ValentinesDay2026

seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

🌙 Ramadan Kareem! Kwa vyakula vidogo au vikubwa vya Iftar na Sahur, Seagas iko tayari kukusaidia kupika kwa urahisi! 🍲 Cylinder zinapatikana: 6kg, 13kg, 50kg. Pata yako leo! Tuma DM au piga simu 0800 723 666. #Ramadan2026 #RamadanKareem

🌙 Ramadan Kareem!
Kwa vyakula vidogo au vikubwa vya Iftar na Sahur, Seagas iko tayari kukusaidia kupika kwa urahisi! 🍲
Cylinder zinapatikana: 6kg, 13kg, 50kg.
Pata yako leo! Tuma DM au piga simu 0800 723 666.
#Ramadan2026 #RamadanKareem
seagask (@seagask) 's Twitter Profile Photo

Ramadhani 2026 🌙 Tunakuletea ratiba ya mwezi mtukufu ili kukusaidia kupanga siku zako kwa urahisi. Tunakutakia mfungo wenye kheri na baraka nyingi. #ramadhan2026 #Ramadhankareem #Seagas

Ramadhani 2026 🌙
Tunakuletea ratiba ya mwezi mtukufu ili kukusaidia kupanga siku zako kwa urahisi.
Tunakutakia mfungo wenye kheri na baraka nyingi.
#ramadhan2026 #Ramadhankareem #Seagas