Tanzania Scouts Chat Forum «SCF360°» (@scf360) 's Twitter Profile
Tanzania Scouts Chat Forum «SCF360°»

@scf360

Official twitter account for Tanzania Scouts Chat
Forum (SCF360°)

ID: 1438760011

calendar_today18-05-2013 15:56:10

247 Tweet

143 Followers

643 Following

Scouting in Africa (@scoutingafrica) 's Twitter Profile Photo

Scouting changes the lives of young people 😌 This Founder's Day, we're reminded that young people in Scouting tend to be more confident, active and engaged! 🤩 Scouting prepares us with skills to succeed in life. Happy #ScoutFoundersDay! ⚜️ What impact has Scouting had on you?

UNDP Tanzania (@undptz) 's Twitter Profile Photo

"As Tanzania Scouts Associon - TSA, we are delighted to engage with young people at the grassroots level in 🇹🇿. We aim to continue running youth clubs in collaboration w/ the Ministry of Education, making a positive impact in the lives of young people." Eline Kitaly, ED Tanzania Scouts Associon - TSA

"As <a href="/tanzaniascouts/">Tanzania Scouts Associon - TSA</a>, we are delighted to engage with young people at the grassroots level in 🇹🇿. We aim to continue running youth clubs in collaboration w/ the Ministry of Education, making a positive impact in the lives of young people." Eline Kitaly, ED <a href="/tanzaniascouts/">Tanzania Scouts Associon - TSA</a>
Tanzania Scouts Chat Forum «SCF360°» (@scf360) 's Twitter Profile Photo

Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu amweke mahali pema. Amina.

Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa &amp; marafiki. Mungu amweke mahali pema. Amina.
Tanzania Scouts Chat Forum «SCF360°» (@scf360) 's Twitter Profile Photo

Uwekaji saini wa mkataba wa mashirikiano baina ya TAKUKURU, ZAECA NA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA lifanyika tarehe 26 Juni, 2023 Makao Makuu ya Skauti Upanga.

Mh. Prof. Adolf Faustine Mkenda (Mb) Rais wa Chama cha Skauti Tanzania na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia awakabidhi Bendera ya Taifa na vipeperushi vya kuitangaza Tanzania kwa utalii kwa Skauti wanaoenda kushiriki Jamboree ya 25 nchini Korea Kusini mwezi Agosti 2023.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na aliyewahi kuwa Mlezi wa Skauti Tanzania mwaka 1985 - 1995, Mhe Ali Hassan Mwinyi, hadi kifo chake alikuwa Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania

Kwa masikitiko makubwa, tunatoa pole kwa skauti wote kwakundokewa na mpendwa wetu Fr. Beda Joseph Pavel, OSB, aliyewahi kuwa Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Taifa ya Skauti, amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 15.05.2025 huko Ndanda, kwa Watawa wa Kibenekti (Benedict Fathers).