SafariMevi (@safarimlevi) 's Twitter Profile
SafariMevi

@safarimlevi

Mithali : 10 : 12 - Kuchukiana huondokesha fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote

ID: 851794295560556544

calendar_today11-04-2017 13:49:20

16,16K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Trixie (@bitilisi) 's Twitter Profile Photo

Kindly repost🙏🏽 Simu ziite Bosses bei zetu ni zile zile: 5 Ltrs kwa 12000(12k) 1 Lt Kwa 3000(3k) Location📍:Ubungo Mawasiliano Tupigie: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa uaminifu mkubwa na kwa gharama za mteja😊

Kindly repost🙏🏽

Simu ziite Bosses bei zetu ni zile zile:
 
      5 Ltrs kwa 12000(12k)

       1 Lt Kwa 3000(3k)

Location📍:Ubungo Mawasiliano

Tupigie: 0786700273

Delivery 🚚: Tunafanya kwa uaminifu mkubwa na kwa  gharama za mteja😊
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Love this photo ❤️ This is Tundu Antiphas Lissu the unassailable leader of #Tanzania 🔥 Picha kama hizi ndo naambiwa mama yao anapiga Glenfiddich anamaliza chupa yote 😂 Atajiju sisi tupo na #NoReformsNoElections #FreeTunduLissu

Love this photo ❤️
This is <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> the unassailable leader of #Tanzania 🔥

Picha kama hizi ndo naambiwa mama yao anapiga Glenfiddich anamaliza chupa yote 😂

Atajiju sisi tupo na #NoReformsNoElections 
#FreeTunduLissu
SafariMevi (@safarimlevi) 's Twitter Profile Photo

Humu birthday zinakua target na watu flan usijipe umuhim kujifanya una mpenda sana kumuwish na kumpost utaishia kujisemesha mwenyewe 😂

SafariMevi (@safarimlevi) 's Twitter Profile Photo

Hii nchi tunapoteza hela kizembe sana Kama hili linalofanyik hapa bungen leo kuna hela kibao zinachomwa moto wakati kuna mambo Mengi ya kufanya

SafariMevi (@safarimlevi) 's Twitter Profile Photo

Sema madam President anaonekan ana chuki sana na familia ya Dr Sarungi kashindwa kumtambua Kama kiongozi Kama hao wengine alio watambua waliofarik 🙌

Eng Msaki (@aloycemsaki) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 28/06/2013 saa nane usiku ilikuwa siku mbaya na ngumu sana kwangu na ni siku isiyo sahaulika maishani mwangu, ni siku ambayo nilipokea taarifa kuwa Baba ametutoka. Endelea kupumzika kwa amani Baba💔🕊