Rusha Roho
@rusharoho
ID: 2829830972
24-09-2014 12:42:47
69 Tweet
600 Followers
13 Following
Rusha Roho #FathersDayEdition #NP IssaMatona #UlonayeMzuie on Radio Citizen ukiwa na Kaka Zema #RamadhanKareem kwa Waislamu!!!
#NP #Nifagilieni kitu chake #OmarKopa kwenye Rusha Roho ukiwa na Kaka Zema kupitia Radio Citizen #FathersDayEdition #RamadhanKareem
Msinilaumu kwa kujichagulia wala kunishutumu hahaa skiza maneno kwenye Rusha Roho hapa Radio Citizen ukiwa na Kaka Zema #FathersDayEdition
#NP #Wema sauti yake #Kimalo ni #FathersDayEdition ya Rusha Roho hapa Radio Citizen ukiwa naye #MkaliWao Kaka Zema #RamadhanKareem!!
#Linawachoma kitu cha #MzeeYussuf kwenye Rusha Roho #FathersDayEdition hapa Radio Citizen ukiwa na Kaka Zema #RamadhanKareem kwa waislamu
Ni wakati wa kujishebedua kwenye Rusha Roho hapa Radio Citizen ukiwa na #MkaliWao Kaka Zema kama wajua kuringa ringa #SwaumMaqbul
Hewani sasa Radio Citizen ni Rusha Roho ukiwa na Kaka Zema #StopRedCard sauti ya #AnifaMaulid ndo kitu kilichopo heeheee haaaloooo!!!!
#KichamboKinakuhusu anavyosema #MariamBSS kwenye Rusha Roho hapa Radio Citizen ukiwa na Kaka Zema ni raaahaa #SwaumMaqbul kwa waislamu
Bado unazidi kupokea burudani kwenye Rusha Roho hapa Radio Citizen ukiwa na Kaka Zema Ni Raaahaaa teeleee #SwaumMaqbul
Tunaanza mizunguko yetu sasa kwenye Rusha Roho hapa Radio Citizen ukiwa nae Kaka Zema ni kujipa raha tu kwa raha zetu #SwaumMaqbul
#AanzaeHavumi anasema #ShadyaOthman ndani ya Rusha Roho hapa Radio Citizen kama kawaida Kaka Zema anakupa utamu tu, seema waareee!!!
#NP #MtuMzimaOvyo sauti ya #HamuyaweziKondo ni ndani ya Rusha Roho ukiwa na Kaka Zema hapa Radio Citizen ni #UtamuKwendaMbele arrgee!!!
Endela kula raha ndania ya Rusha Roho hapa Radio Citizen ukiwa na Kaka Zema #AsiyekujuaHakuthamini #MashauziClassic ni UTAMU KWENDA MBELE
Ukiwaona waambie Radio Citizen is the #HotBed of Taarab Music Rusha Roho na Kaka Zema ndio #MkaliWao
Tunaanza Mizunguko sasa ndani ya Radio Citizen kwenye Rusha Roho na Kaka Zema raha ya kukalia mkeka kawaida ni kunyoosha miguu #RushaRoho
#HotBed of Taarab Music Radio Citizen Kaka Zema anaendelea kumwaga burudani tu..leo anasema hakuna kupangusa ni kumwaga tu haha Rusha Roho
Ni ule wakati wa masebene na kujiachia hapa Radio Citizen na Kaka Zema kwenye Rusha Roho full minenguo kwa raha zetu #UtamuKwendaMbele
Kama wajua utamu wa taarab basi kwa sasa uko ndani Radio Citizen umsikize Kaka Zema ndani ya Rusha Roho upate raha zaidi #UtamuKwendaMbele
#NajutaKupenda #AsiaUtamu #NP Radio Citizen Rusha Roho ukiwa na Kaka Zema ni kujipa raha bila karaha, mapenzi mzigo #UtamuKwendaMbele
#HemediOmari anasema #MyChoice ndani ya Radio Citizen ni Rusha Roho ukiwa na Kaka Zema raahaaa tu, ukiwaona waambieni waongeze bidii!!