Rommy (@robertmziwanda) 's Twitter Profile
Rommy

@robertmziwanda

IT, Graphic Designer. I never Loose, I either Win or Learn

ID: 912257843188977664

calendar_today25-09-2017 10:09:53

2,2K Tweet

201 Followers

263 Following

Ki Messi Mweusi ๐Ÿ (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni mwana YANGA kindaki ndaki na una mahaba na YANGA kutoka moyoni, tafadhali sana naomba uRT na uwape neno moja hawa Azam TV kwa MKURUPUKO wa mwaka ulioisha kwa aibu na fedhea. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ๐Ÿฝ

Kama wewe ni mwana YANGA kindaki ndaki na una mahaba na YANGA kutoka moyoni, tafadhali sana naomba uRT na uwape neno moja hawa <a href="/azamtvtz/">Azam TV</a> kwa MKURUPUKO wa mwaka ulioisha kwa aibu na fedhea. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ๐Ÿฝ
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Msiwe watu wa kupuuzia hisia zenu sometimes zina maana kubwa. Baada ya kuona video ya Sativa akihojiwa na kudai alikuwa Oysterbay nikakumbuka Jumatatu nilipelekwa na gari ya millardayo Oysterbay nikakutana na Brother Patrick baada ya kupata majibu yasiyo na matumaini

Msiwe watu wa kupuuzia hisia zenu sometimes zina maana kubwa.
Baada ya kuona video ya Sativa akihojiwa na kudai alikuwa Oysterbay nikakumbuka Jumatatu nilipelekwa na gari ya <a href="/millardayo/">millardayo</a> Oysterbay  nikakutana na Brother Patrick baada ya kupata majibu yasiyo na matumaini
Malkia Nyuki ๐Ÿ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Kiukweli uhai wa Sativa ni miujiza Mungu ametaka kuwaonyesha tena wauaji wanayofanya yatajulikana siku moja Namba za Familia na Lipa Namba kwa ajili ya Mchango wa Sativa VODACOM 0769916759 Israel Patrick AIRTEL 0699742232 James Nelson Lipa Namba ya Voda 5012993 iPhone FIX

Kiukweli uhai wa Sativa ni miujiza Mungu ametaka kuwaonyesha tena wauaji wanayofanya yatajulikana siku moja

Namba za Familia na Lipa Namba kwa ajili ya Mchango wa Sativa

VODACOM
0769916759
Israel Patrick

AIRTEL
0699742232
James Nelson

Lipa Namba ya Voda 
5012993
iPhone FIX
Rahuuuum (@rahmamwita) 's Twitter Profile Photo

Ni mtu na nusu MIRIAM๐Ÿ’œ hua hapendi show off na ana mapenzi na kila mtu hata siku tumepiga hizi picha May 2023 alinambia Rahma usipost bhana. Hongera sana Role Model me najua hujafanya kwa Sativa tuu hata angekua kijana mwingine ungepaza sauti kwa sababu una UTU.๐Ÿ™๐Ÿพ

Ni mtu na nusu <a href="/MiriamMkanaka/">MIRIAM๐Ÿ’œ</a> hua hapendi show off na ana mapenzi na kila mtu hata siku tumepiga hizi picha May 2023 alinambia Rahma usipost bhana. Hongera sana Role Model me najua hujafanya kwa Sativa tuu hata angekua kijana mwingine ungepaza sauti kwa sababu una UTU.๐Ÿ™๐Ÿพ
MADOPE๐ŸŒพ (@ugeniaconso) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA USIPITE BILA KUSOMA NA KURT Huyu jamaa alifungwa mwaka jana jela kwa kukosa faini ya milioni 7 tu kwa kesi ya kuchapisha maudhui kuhusu vipato vya marais Hukumu yake imekuwa na walakini sana ila kwasababu ni mnyonge akaishia jela Kama wana X tunaweza kumfuta majonzi

NAOMBA USIPITE BILA KUSOMA NA KURT

Huyu jamaa alifungwa mwaka jana jela kwa kukosa faini ya milioni 7 tu kwa kesi ya kuchapisha maudhui kuhusu vipato vya marais 

Hukumu yake imekuwa na walakini sana ila kwasababu ni mnyonge akaishia jela 

Kama wana X tunaweza kumfuta majonzi
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya #JenistaMhagama naomba nikukaribishe wizarani na kazi hii. Adopted from a Parent Habari za kazi Buyobe na pole kwa kazi za kila siku ndugu yangu. Naitwa Samson nina mtoto wa miaka 2 na nusu sasa ambae amepata tatizo kubwa la kitabibu.

Waziri wa Afya #JenistaMhagama naomba nikukaribishe wizarani na kazi hii.

Adopted from a Parent

Habari za kazi Buyobe na pole kwa kazi za kila siku ndugu yangu.

Naitwa Samson nina  mtoto  wa miaka 2 na nusu sasa ambae amepata tatizo kubwa la kitabibu.