peter Urassa (@peterurassa3) 's Twitter Profile
peter Urassa

@peterurassa3

horticulturist| Gardener| entrepreneur|extension field officer founder of Agri family farming|🇹🇿❣️

ID: 1590565555848765441

calendar_today10-11-2022 05:13:32

1,1K Tweet

232 Followers

2,2K Following

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Moja ya Kitu cha Muhimu Zaidi kwa Mwanaume ni: “Kuzoea UPWEKE” Kuna Stage kwenye Maisha Hutohitaji Mtu yeyote Zaidi Yako Mwenyewe Zoea Kutumia Muda Mwingi Peke yako Kuna stage Wanawake kwako ni DISTRACTION Tu Kama una Ndoto Kubwa—Hii Stage Haiepukiki

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Man to Man Unaweza kuwa maarufu sana kazini kwako, lakini niamini, ukifukuzwa kazi leo, hakuna mtu kazini atakayekupigia simu baada ya wiki moja Wengi watafurahia kuona umefukuzwa Epuka umbea kazini Fanya kazi yako. Lipwa. Rudi nyumbani Maisha yako binafsi Usiyapeleke kazini

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Watu wanaamini kuamka kesho, ila hamwamini yule ATAKAYEWAPA Uhai wa kuamka kesho. Wanaamini NGUVU na AKILI zao, lakini hawamanini aliyewa hivyo mwilini mwao Mungu yupo sana, Plan zake sio plan zetu, Akili zake HAZICHUNGUZIKI Hajibu Maombi yako kwa namna unavyota, Bali ATAKAVYO

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Ahsante Bwana Yesu 🙏🏾 Kwa kuwa akili zetu zinapoishia, ndio mahali wewe Unapoanzia! Kwa maana HEKIMA za Wanadamu ni Upumbavu mbele zako! Ahsante kwa kilichotokea ktk Nchi yangu kwa maana ulisema Tushukuru kwa Kila Jambo Mkono wako ulio Hodari, haujaondoka kwetu. UMESIMAMA NASI

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Usiku nimeshindwa kupata usingizi nikisikia uchungu kwa ajili ya Familia zilizopoteza Watoto wao. Nazidi kuwaombea Faraja na Nguvu zaidi. Kwangu naona Marehemu ni MASHUJAA WA KIZAZI HIKI, wamefanya kwa sehemu yao. Poleni sana wazazi, poleni sana ndugu, jamaa na Marafiki!

Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

TANGAZO KWA UMMA TLS inapenda kuwatangazia Watanzania kuwa kama kuna mtu anataarifa za uvunjwaji wa haki za binadamu au anahitaji msaada wa kisheria tunaomba utume taarifa hiyo kupitia. Email: [email protected] Au WhatsApp: 0779626282 Raisi wa TLS Adv. Boniface Mwabukusi

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

MAMBO NI MENGI MUDA MCHACHE Without prejudice Nimeiona hati ya Mashtaka ya Uhaini .Ni mashtaka ya Uonevu na yasiyo Haki. TLS itaratibu na Kuhakikisha kila anaye shtakiwa anapata Utetezi Kamilifu kisheria. Ni aibu waliotakiwa kushtakiwa eti leo ndiyo wanawafungulia wahanga

Football Xtra™ (@footballxtra0) 's Twitter Profile Photo

🚨🗣 Kaka: “I did everything I could to save my marriage, but there's something I learned: you can't force someone to stay with you if they've already decided to leave. “In 2015, my wife told me she didn't want to be married anymore. I clung to the idea of ​​fighting, of

🚨🗣 Kaka: “I did everything I could to save my marriage, but there's something I learned: you can't force someone to stay with you if they've already decided to leave. 

“In 2015, my wife told me she didn't want to be married anymore. I clung to the idea of ​​fighting, of
LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

MUNGU awabariki sana, kwa wote mlionyoosha mkono wenu ili kutoa SADAKA kwa kijana wetu huyu. Lakini kama UTAWIWA kutoa SADAKA, bado tunahitaji kwa ajili ya Nauli kutoka Mwanza na Gharama kidogo za kuanzia Maisha kama 400,000/- Naomba utume kupitia no 0618 839 028 RAMADHAN

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Kuna tofauti kati ya MASKINI na mtu ASIYE NA PESA! Usichanganye pls. MASKINI anaweza kuwa na Gari, Nyumba, Kampuni na akavaa vizuri lakini still akawa ni MASIKINI tu. TAJIRI anaweza asiwe na Mali na pesa wakati huu, lakini ameandaa misingi mizuri ya kuwa Tajiri siku za Usoni.

BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Ukikaa mezani na watu hakikisha mnaongea kuhusu • Mungu, • maendeleo, • biashara, • ndoto • au pesa. Sio kupoteza muda kuzungumzia watu, maisha yao au udhaifu wao.

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Leo tunaposherehekea Sikukuu za Uhuru, ni muhimu kukumbuka kwamba hatuna nchi nyingine zaidi ya hii. Hii ni nchi yetu, hii ni ardhi yetu, na hii ni haki yetu ya kuzaliwa hapa. Tumepewa mamlaka ya kupigania na kulinda haki zetu, kuhakikisha kwamba tunanufaika na kila rasilimali

Leo tunaposherehekea Sikukuu za Uhuru, ni muhimu kukumbuka kwamba hatuna nchi nyingine zaidi ya hii. Hii ni nchi yetu, hii ni ardhi yetu, na hii ni haki yetu ya kuzaliwa hapa. 

Tumepewa mamlaka ya kupigania na kulinda haki zetu, kuhakikisha kwamba tunanufaika na kila rasilimali
CopyMindset (@copy_mindset) 's Twitter Profile Photo

Wealth Director Discipline becomes easy once you realise there is no other option to get to where you want to go Because success requires you to move despite how you're feeling. Bite the bullet. Do the work. Put the reps in.

Adaora Favour Nwankwo (@adaora_crypto) 's Twitter Profile Photo

From tomorrow I will take you on a 20days journey through understanding what the stock market entails. 📌What is stocks 📌How to fund your account 📌What apps should you use 📌How to buy US stocks 📌How to buy Nigerian stocks 📌How to invest in REIT, ETF’s , Mutual

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

MAN TO MAN. Wewe ni mwanaume. Maisha ya mwanaume si mepesi Yamejaa mapambano makali, dhoruba zisizoonekana, na mzigo mzito unaobebwa kimya kimya kifuani. Sio kila kilicho moyoni mwako husemwa, na si kila maumivu huonekana. Kuendelea kusimama kila siku kunahitaji Hekima,

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Temidayo Bro to Bro 1. Maisha hayana huruma kama hutajisimamia, yatakuvuruga. 2. Usiseme sana mipango yako, fanya kimya kimya uje uonyeshe matokeo. 3. Marafiki wengi hawapendi kukuona ukipanda kuliko walipo 4. Using'ang'anie kubaki kwenye Comfort Zone kunakua ndoto zako