KASONGO YEYEE♐ (@perdiem18) 's Twitter Profile
KASONGO YEYEE♐

@perdiem18

Hard-worker, dream chaser and I believe in my HEIGHT.
Cool Daddy😎 (Baba G).

ID: 1405913898759430148

calendar_today18-06-2021 15:43:08

734 Tweet

122 Followers

272 Following

Peter Msigwa (@msigwapeter) 's Twitter Profile Photo

“Ukweli ni kwamba watu wanokuchukia kuna vitu au mambo wanajifunza kwako kisirisiri , lakini hawawezi kusema na kuweka wazi kuwa wamejifunza kwako”

𝗣𝗨𝗡𝗧𝗔 ⚽🏀 (@punter__0) 's Twitter Profile Photo

JINSI YA KUJUA JINA LA MMILIKI WA GARI KUPITIA PLATE NUMBER Hii ni njia nzuri ya kujua mmiliki wa gari au pikipiki kupitia number kwa kutumia menyu ya simu yako ya mkononi Uzi mfupi sana shuka nao👇

JINSI YA KUJUA JINA LA  MMILIKI WA GARI KUPITIA PLATE NUMBER

Hii ni njia nzuri ya kujua mmiliki wa gari au pikipiki kupitia number kwa kutumia menyu ya simu yako ya mkononi

Uzi mfupi sana shuka nao👇
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia ndugu zetu Wakristo kheri katika Kipindi cha Kwaresima. Katika kipindi hiki cha siku arobaini za ibada, kufunga na kufanya toba, tuendelee kuiombea nchi yetu amani, upendo, umoja, utulivu na yote yaliyo mema, huku tukiwakumbuka wenye uhitaji. Tutumie pia kipindi hiki

Nawatakia ndugu zetu Wakristo kheri katika Kipindi cha Kwaresima. Katika kipindi hiki cha siku arobaini za ibada, kufunga na kufanya toba, tuendelee kuiombea nchi yetu amani, upendo, umoja, utulivu na yote yaliyo mema, huku tukiwakumbuka wenye uhitaji.

Tutumie pia kipindi hiki
WAGA Motion (@wagamotion) 's Twitter Profile Photo

WAGA Motion Electric Vehicle Charging Station at LOTI Energy Station in Arusha Tanzania ! Come and get Charged today⚡️

WAGA Motion Electric Vehicle Charging Station at LOTI Energy Station in Arusha Tanzania ! Come and get Charged today⚡️
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Kama ndugu zako huko Kijijini wamelima Pilipili kichaa, basi wanaenda kuuaga umaskini wajuze kuwa kuna Tajiri wa uhakika ananunua aina hiyo ya Pilipili kwa bei nzuri sana Mawasiliano yake 📞 0743228558 📞 0658228558

Kama ndugu zako huko Kijijini wamelima Pilipili kichaa, basi wanaenda kuuaga umaskini wajuze kuwa kuna Tajiri wa uhakika ananunua aina hiyo ya Pilipili kwa bei nzuri sana

Mawasiliano yake
📞 0743228558
📞 0658228558
LYENDA (@iamlyenda) 's Twitter Profile Photo

Bila shaka Nzega hakuna shida ya maji. Hakuna shida ya barabara. Hakuna shida ya ajira. Hakuna shida ya umeme. Hakuna shida ya madawa na waganga wapo hospitalini. Kuna zahanati kila kata. Shule zina madarasa ya kutosha na walimu wapo. Wakulima wanapata pembejeo. Hongereni Nzega.

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

MAMLAKA ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha miaka 27 kwa makubaliano yenye thamani ya Dola bilioni 1.4 ambayo yatatoa fursa ya

MAMLAKA ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha miaka 27 kwa makubaliano yenye thamani ya Dola bilioni 1.4 ambayo yatatoa fursa ya
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Nasikia Jamaa pale WHO hakwenda kibahati wala kwa ngekewa, unaambiwa alikuwa smart sana kichwani hakuna wa kuvaa viatu vyake. Rest In Paradise CHAMP 🕊️

Nasikia Jamaa pale WHO  hakwenda kibahati wala kwa ngekewa, unaambiwa alikuwa smart sana kichwani hakuna wa kuvaa viatu vyake. Rest In Paradise CHAMP 🕊️
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Mwanamke anae kuomba nauli ili aje kwako… Hawezi akawa muaminifu hata kidogo… Mkiwa wachache kwenye hayo mahusiano mpo wanaume watano… We kijana nisikize mimi… USIDATE MWANAMKE ANAE KUZIDI SHIDA💯💯

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Kama hauamini katika Mungu basi hakikisha una power nyingine unaomba back up kila ukiamka maana mi naamini kwa nguvu na akili za Binadamu hazimtoshi ku survive mwenyewe lazima atumie back up. Wengi tunaamini katika Mungu na kila zuri likitokea tunaamini ni yeye sio sisi.

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Mara nyingi tukiomba hatupati au hatupewi kwa wakati, kwasababu tunakosea namna ya kumu-approach Mungu. Usimu-approach Mungu kwa kuanza tu kuomba ❌❌ Anza kushukuru kwanza. Kisha tubu au ungama. Kisha sifia na umtukuze. Ukimalize hayo sasa ndio umueleze shida zako za

Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Kuna wanasiasa wa upinzani malengo yao ni kuishi vizuri kwa kutumia siasa za upinzani. Hawaamini na hawana malengo juu ya kushika dola. Wanagombea ubunge kama 'fashion' tu. Na hawapendi zile siasa kali na 'serious' za upinzani kwa sbb zinawagombanisha na sponsors wao walioko CCM.

Kuna wanasiasa wa upinzani malengo yao ni kuishi vizuri kwa kutumia siasa za upinzani. Hawaamini na hawana malengo juu ya kushika dola. Wanagombea ubunge kama 'fashion' tu.
Na hawapendi zile siasa kali na 'serious' za upinzani kwa sbb zinawagombanisha na sponsors wao walioko CCM.
Sachin Jose (@sachinettiyil) 's Twitter Profile Photo

Italy’s Catholic Prime Minister, Giorgia Meloni, attend Mass at St. Peter’s Basilica in the Vatican to mark the 20th death anniversary of Pope John Paul II. Image: Посольство України при д Святому Престолі

Italy’s Catholic Prime Minister, Giorgia Meloni, attend Mass at St. Peter’s Basilica in the Vatican to mark the 20th death anniversary of Pope John Paul II.

Image: Посольство України при д
Святому Престолі
CNN International (@cnni) 's Twitter Profile Photo

Pope Francis makes a surprise public appearance, his first since leaving the hospital, greeting crowds from a wheelchair at the Vatican cnn.it/42zOz8A

Pope Francis makes a surprise public appearance, his first since leaving the hospital, greeting crowds from a wheelchair at the Vatican cnn.it/42zOz8A