Ochu (@ochu863252) 's Twitter Profile
Ochu

@ochu863252

ID: 1843985338789978112

calendar_today09-10-2024 12:02:59

1,1K Tweet

68 Followers

24 Following

Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali katika Makao Makuu wa Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 14 Februari,

SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kuhusu masuala ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwenye Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Kuandika Wosia Sio Kujitabilia Kifo: Kisa Cha Mirathi Kilichosambaratisha Familia. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SONGEA #RUVUMA #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya #IKULUMAWASILIANO #SSH

Nchi yangu kwanza (@nchiyangut) 's Twitter Profile Photo

Kauli yako ni sahihi na ina mashiko ya kisheria, kimaadili, na kiutendaji. Hebu tuiweke hoja yako kwenye msingi wa kitaifa na wa hoja zenye nguvu: 1. Tarakimu na Maneno Vinavyokinzana: Dalili ya Taarifa Bandia Ukiandika: Tarakimu: 15,000,000.00 (yaani shilingi milioni kumi na

Nchi yangu kwanza (@nchiyangut) 's Twitter Profile Photo

Haya ni maswali muhimu sana kuhusu uwajibikaji wa serikali na usalama wa taifa. Hebu tuyachambue kwa mtiririko: 1. Tunawezaje kuhakiki uhalali wa nyaraka? Kuhakikisha uhalali wa nyaraka, hatua hizi zinaweza kuchukuliwa: •Kulinganisha mihuri na sahihi rasmi: Angalia kama

SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

"Tanzania iwe ghala la chakula Africa,ni muhimu kuongeza uzalishaji katika mazao yote ambayo yanahitajika katika bara hili." #Sisinitanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya #kaziiendelee #kazinaututunasongambele #katibanasheria #mslac #SSH

"Tanzania iwe ghala la chakula Africa,ni muhimu kuongeza uzalishaji katika mazao yote ambayo yanahitajika katika bara hili."
#Sisinitanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya #kaziiendelee #kazinaututunasongambele #katibanasheria #mslac #SSH
Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge Ndg. Baraka Leonard.

fagio (@fagio737376) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha Amani na utulivu katika Nchi yetu na mazingira rafiki wa watalii wa ndani na nje ya mipaka yetu #matokeochanya #sisinitanzania #kazinaututunasongambele #Nchiyangukwanza #Naipendatanzania

Pongezi kwa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha Amani na utulivu katika Nchi yetu na mazingira rafiki wa watalii wa ndani na nje ya mipaka yetu #matokeochanya #sisinitanzania #kazinaututunasongambele #Nchiyangukwanza #Naipendatanzania
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko ya sheria yaliyofanywa juu ya mchakato wa uchaguzi. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

ZIJUE HATUA MUHIMU KABLA YA KUNUNUA ARDHI KUEPUKA MIGOGORO YA ARDHI ISIYO YA LAZIMA. #katibanasheria #MSLAC #wizarayaardhi #SisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #tanzaniayahaki #WizaraYaKatibaNaSheria

ZIJUE HATUA MUHIMU KABLA YA KUNUNUA ARDHI KUEPUKA MIGOGORO YA ARDHI ISIYO YA LAZIMA.
#katibanasheria #MSLAC #wizarayaardhi #SisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #tanzaniayahaki #WizaraYaKatibaNaSheria
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Heri ya siku ya uhuru,Tuendelee kulinda tunu zetu za Amani,umoja na mshikamano. #katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #tanzania #HakiKwaWote #WizaraYaKatibaNaSheria

Heri ya siku ya uhuru,Tuendelee kulinda tunu zetu za Amani,umoja na mshikamano.
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #tanzania #HakiKwaWote #WizaraYaKatibaNaSheria