Nicolas J. Clinton Gabone (@nicolasgabone) 's Twitter Profile
Nicolas J. Clinton Gabone

@nicolasgabone

Former National Chairman of NCCR-Mageuzi Youth League|Public Figure|Diplomat|MP Candidate ILALA 2020|Marxist-Leninist|Pan-Africanist|A member of NCCR-Mageuzi.

ID: 718519394268266496

linkhttp://NicolasGabone.Com calendar_today08-04-2016 19:22:27

1,1K Tweet

674 Followers

257 Following

Nicolas J. Clinton Gabone (@nicolasgabone) 's Twitter Profile Photo

Kwamba DART Mwendokasi ilikosekana kampuni ya ndani kuendesha BRT? Tunashindwa nini sisi kujenga uwezo wa ndani wa kuendesha mradi wa daladala? Mnatutia aibu sana, Kila kitu mnawapa wageni wavune mabilioni ya shilingi kwa faida yao! Sisi tunaweza nini lakini?

Nicolas J. Clinton Gabone (@nicolasgabone) 's Twitter Profile Photo

Katika jamii za Afrika uchawi umekuwa ni kikwazo sana ukiachana na ujinga. Mafanikio mengi sana ya maisha yamefichwa kwenye giza ambalo kwa macho ya kawaida huwezi kuona.

Katika jamii za Afrika uchawi umekuwa ni kikwazo sana ukiachana na ujinga. 

Mafanikio mengi sana ya maisha yamefichwa kwenye giza ambalo kwa macho ya kawaida huwezi kuona.
Nicolas J. Clinton Gabone (@nicolasgabone) 's Twitter Profile Photo

Someone tell the Presidents of East African counties that their days are numbered. In 2023, the population of East africa was quoted at 472 million people. The day we decide to move as one against bad governance, there will be nowhere to hide.

Nicolas J. Clinton Gabone (@nicolasgabone) 's Twitter Profile Photo

Sam Allan Ruhuza aliyewahi kuwa Katibu Mkuu NCCR Mageuzi 2009-2014,Mfanyabiashara na mmiliki wa Timu ya kandanda ya Mbanga FC ya Kigoma amekamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi leo hii mchana huko Kigoma. Bado haijaeleweka sababu za kukamatwa wala alipopelekwa.

Sam Allan Ruhuza aliyewahi kuwa Katibu Mkuu NCCR Mageuzi 2009-2014,Mfanyabiashara na mmiliki wa Timu ya kandanda ya Mbanga FC ya Kigoma amekamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi leo hii mchana huko Kigoma.

Bado haijaeleweka sababu za kukamatwa wala alipopelekwa.
Nicolas J. Clinton Gabone (@nicolasgabone) 's Twitter Profile Photo

Kupambana na kanisa Katoliki siyo suala la kujimwambafai! Kama mnaweza haya pambaneni nao, mfumo wa CCM wa nyumba 10 Nyerere aliiga kwa Kanisa Katoliki. Hivyo tukumbuke lile ni dude kubwa. Kate ya UDINI imesukwamwa vyema jana na Rais Samia wakati wa hotuba yake kwa wazee.

Nicolas J. Clinton Gabone (@nicolasgabone) 's Twitter Profile Photo

Assad, Nicolás Maduro and now Iran’s leadership, each has faced overwhelming U.S. pressure. Russia, China and North Korea speak of strategic alliances and multipolar power, yet when their partners are tested, their presence fades. Power is proven in protection, not in statements.