Fundi mshona viatu (@mshonaviatu) 's Twitter Profile
Fundi mshona viatu

@mshonaviatu

ID: 2478215783

calendar_today12-04-2014 07:34:33

17,17K Tweet

591 Followers

281 Following

Kante (@mkulimakante) 's Twitter Profile Photo

Sasa hivi kwenye game ya MC huyu janja ana upepo wake kama unabisha we mpe harusi yako, hutojutia. Huu moto wa hawa Gen Z unanipa raha sana moyoni anajua sana kuteka audience niamini mimi hakuna mtu aliwahi hudhuria harusi alizohost janja akawa bored. Hii ni mashine nyingine ๐Ÿ™Œ

Sasa hivi kwenye game ya MC huyu janja ana upepo wake kama unabisha we mpe harusi yako, hutojutia.

Huu moto wa hawa Gen Z unanipa raha sana moyoni anajua sana kuteka audience niamini mimi hakuna mtu aliwahi hudhuria harusi alizohost janja akawa bored.

Hii ni mashine nyingine ๐Ÿ™Œ
๐Ÿ“ทHome_pictures printing. ๐Ÿ“ท (@cluuzy_tz) 's Twitter Profile Photo

Picha za Frame/picha mbao za Ukutanii. Size A4 Tsh: 10,000 Size A3 Tsh: 20,000 Nitumie picha zako nikuwekee katika PiCHA MBAO au FRAME NZURY Unapata size zote zipo WhatsApp number ๐Ÿ‘‰ 0677523114 Nafanya delivery dar na mikoani kwa usalama Nipo kigambon/sido Repost

Picha za Frame/picha mbao za Ukutanii.

Size A4
Tsh: 10,000

Size A3
Tsh: 20,000

Nitumie picha zako nikuwekee katika PiCHA MBAO au FRAME  NZURY

Unapata size zote zipo

WhatsApp number ๐Ÿ‘‰ 0677523114

Nafanya delivery dar na mikoani kwa usalama

Nipo kigambon/sido

Repost
Njiwapori 10k (@njiwapori_) 's Twitter Profile Photo

Ujinga umeijaa dunia ya sasa. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ubaya ni wao wanaendesha social network. Sasa hivi grok kila kitu kibaya kinachomhusu U.s na Israel jibu lake ni "No"

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume

Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume
Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Hivi wengine walijifunzia wapi kucheza aiseee, na hapo ni mzee mpimie ujana wake ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Uzuri wangu mm sijawahi kuwa Mnafiki- naongea mawazo bayana na Hadharani! Hata nkibaki mmoja mwenye mtazamo flani- nitasimama na mtazamo wangu na nitautetea kwa pointโ€ฆ Sijawahi kuwa bendera ufuata upepoโ€ฆ Watu wengi wanao pinga hoja yangu ya mheshimiwa Tundu

Under Fear (@sensational005) 's Twitter Profile Photo

Hivi hapa bongo hamnaga Club/bar zinaonesha mpira kama za wakenya watu wanaenda na Jezi kabisa vibe la kutosha au sie zetu ndio kitambaa cheupe zilizojaa uzinzi tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Hivi hapa bongo hamnaga Club/bar zinaonesha mpira kama za wakenya watu wanaenda na Jezi kabisa vibe la kutosha au sie zetu ndio kitambaa cheupe zilizojaa uzinzi tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ