Wizara ya Maliasili na Utalii (@mnrt_tanzania) 's Twitter Profile
Wizara ya Maliasili na Utalii

@mnrt_tanzania

Ministry of Natural Resources and Tourism in Tanzania is responsible for the Management of Natural Resources,Cultural and Tourism Development

ID: 1091685684908298240

linkhttps://www.maliasili.go.tz calendar_today02-02-2019 13:12:04

936 Tweet

19,19K Followers

33 Following

Wizara ya Maliasili na Utalii (@mnrt_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha maelekezo ya Serikali yaliyotolewa hivi karibuni kwa wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kuhusiana na uboreshaji wa huduma za jamii yanatekelezwa.

Mawakala wa utalii kutoka Brazil waendelea na ziara yao Tanzania kabla ya kuanza kuleta maelfu ya watalii kujionea uzuri wa nchi yetu. #tanzaniaunforgettable🇹🇿

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akishiriki Kikao cha 4 Mkutano wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Shughuli za leo za Bunge ni pamoja na kujadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali za Ulinzi wa Mtoto wa Mwaka 2024.

Michezo mbalimbali iliyofanyika wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Mikumi leo Agosti 31,2024 Mkoani Morogoro ambapo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) alishuhudia akiwa na watendaji wa TANAPA na Wizara ya Maliasili na Utalii.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akikagua mabanda wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Mikumi leo Agosti 31,2024 Mkoani Morogoro.

Spika wa Bunge la Comoro leo amefanya “Royal Tour” kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi nchini Tanzania na kufurahia mandhari mbalimbali ikiwemo wanyamapori katika mazingira yao ya asili kabisa. #amazingmikumi #tanzaniaunforgettable🇹🇿

Spika wa Bunge la Comoro leo amefanya “Royal Tour” kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi nchini Tanzania na kufurahia mandhari mbalimbali ikiwemo wanyamapori katika mazingira yao ya asili kabisa.

#amazingmikumi 
#tanzaniaunforgettable🇹🇿
Wizara ya Maliasili na Utalii (@mnrt_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akishiriki Mkutano wa 16, Kikao cha 5 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Septemba 2 2024 Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii, jijini Dodoma leo Septemba 5, 2024.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali itaendelea kuweka mikakati madhubuti za kuwalinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu hususan tembo.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyo chini ya Mradi wa (REGROW) inayotekelezwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Ruaha huku Mkoani Iringa.

Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) umenufaisha kikundi wa kijamii cha COCOBA Chekereni Mikumi Mkoani Morogoro kwa kutoa shilingi milioni 28.8 huku wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati.

Mradi wa Kupambana na Ujangili na Biashara Haramu ya Wanyamapori (IWT) ulio chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii, umekabidhi mizinga ya kisasa 300, vifaa vya kufugia nyuki na kusindika asali vyenye gharama ya shilingi milioni 50 kwa Jumuiya za Hifadhi ya Wanyamapori.